Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree

Usisahau pia kuwa wakati akiwa chuo aliolewa na wanaume tofauti tofauti
 

Mkuu husijidanganye hata kidogo kwa fikra kama hizo kuna watu wanapata Degree bila kutoa jasho hata kidogo
 
Malizia tu unatafuta mwanamke mwenye degree na kazi pia! Hivi kwanini wanaume wa siku hizi tunakimbilia kuoa wanawake wenye kazi?.
 
Ndoa na chuo ni vitu viwili tofaut kabisa

Sitak kuamin ww ni mwanachuo wenye level ya degree umeleta huu uzi
 
Kama wew mwenyew una degree basi dah kukaa sana shule na kwenyew ni tatizo mana haya mawazo sio ya mtu mwenye degree
 
JF inachanganya sana,kuna Uzi humu unasema watoto wa chuo wanamegwa sana...nikisoma hii Mada naona ktk huo uvumilivu na kumegwa sana mtoa Mada ungeweka
 
Uzi huu ni mfano tosha kwamba chuo sio kigezo cha uelewa uvumilivu kwenye ndoa.

Kwangu mimi kigezo cha shule ni kujua kusoma na kuandika. Hayo mengine ni mbwembwe tu.

Infact, nawafahamu machangu wengi sana wenye degree

Jichanganye uingie kwenye kumi na nane zao!
 
Malizia tu unatafuta mwanamke mwenye degree na kazi pia! Hivi kwanini wanaume wa siku hizi tunakimbilia kuoa wanawake wenye kazi?.

Uvivu na kukata tamaa, ukimuona mwanamme anamtegemea mwanamke kwenye maisha hapo hamna dira hata ya malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…