Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree




mkuu ukumbuke kuwa sarafu inapande mbili.
 
Heeeee haya bana
 
Kazi ipo?. Ukijumlisha na bhangi si balaaa
 
Usitolee mfano wazazi wako. Kuna generation gap pia kumbuka.
 
Chanzo kikuu cha migogoro ya ndoa ni kutowakojoza vizuri wanawake.Kama mkeo una mkojoza vizuri wala hawezi kukuletea dharau
I agree with you mwanaume machine usipokuwa na hyo hata ukioa wa la pili hamdumu.
 
Maisha ya shule na maisha ya uraiani ni tofauti kabisa...

Maisha ya shule kuna favour nyingi sana, maisha ya uraiani yana changamoto nyingi...


Cc: mahondaw
 
Maisha ya shule na maisha ya uraiani ni tofauti kabisa...

Maisha ya shule kuna favour nyingi sana, maisha ya uraiani yana changamoto nyingi...


Cc: mahondaw
Shule kazi yake ni kutoa ujinga huwezi linganisha asiyeenda shule na aliyesoma, sema wanaume mnapenda wanawake wasioenda shule muwaonee, hafu mnaenda kuchepuka na wanaojielewa, msosi anaweza kuilea familia yake vzuri watoto akawaongoza kuwa na msingi. Only in Tanzania watu hawaoni u muhimu wa shule kisa uoga wa wanaume
 
Kwa nn ndoa zao hazidumu? Kuna tatizo kwenu mabinti wa chuo lichunguzeni vizur.
 
Kwa nn ndoa zao hazidumu? Kuna tatizo kwenu mabinti wa chuo lichunguzeni vizur.
Ndoa hazidumu kwa watu wasiojua misingi ya ndoa ikiwepo uzinzi ndo huua ndoa nyingi, msomi anajielewa hawezi vumilia ujinga, pia sio kwamba wasosoma wanazipenda ndoa ni vile hawana kipato mwanamke anajitaftia huwezi kumtesa akakuganda eti kisa sijui nini loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…