Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Siwezi kukusahau kwakweli. Mimi yeyote tu hata mwenye PhD sawa tu, chamsingi upendo na mapenzi ya dhatiHaha utakuwa umeamua kunisahau tu. Kwa hiyo na wewe "utawowa" mwenye degree au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kukusahau kwakweli. Mimi yeyote tu hata mwenye PhD sawa tu, chamsingi upendo na mapenzi ya dhatiHaha utakuwa umeamua kunisahau tu. Kwa hiyo na wewe "utawowa" mwenye degree au?
Amen to that.Siwezi kukusahau kwakweli. Mimi yeyote tu hata mwenye PhD sawa tu, chamsingi upendo na mapenzi ya dhati
Siku hizi nimeona wimbi la wakina dada wakiweka kigezo cha mume mwenye degree, hivi kwanini nanyi mnataka wenye degree?Amen to that.
Sisi tupo sana tu
Hii ni moja wapo ya sababu iliyonifanya mimi nikimbie kabisa kuoa Bongo. Nakumbuka wakati nipo mwaka wa pili chuo huko Mji kasoro kisima, nilikuwa naishi off campus, nyumba niliyokuwa naishi kuna jamaa mmoja alikuwa mwaka wa tatu anaishi na kabinti fulani kazaliwa ka huko moshi tena ndio kalikuwa first year. Yaani niliyokuwa nayaona mpaka yanatia kinyaa sijui ni kipi walichokuwa hawakifanyi ambacho wana ndoa wakawaida wanakifanya, Halafu jamaa alivyomaliza tu akaamsha zake kenyewe kakabaki kapweke hadi kakaamia kwa wenzie.Kwa jinsi nilivyoyaona maisha ya chuoni yalivyo hakika wana uvumilivu sana. Utakuta mwanamke(mwanafunzi) anakaa na jamaa(mwanafunzi pia) kama mke na mume walio ndoani vile baaada ya chuo kufunga kila mtu na njia yake hali huwa hivyo pia wakimaliza chuo.
Ni mtazamo wako. Mimi ni msomi lakin niko tofauti na wewe kidogo. Likija suala la ndoa au mahusiano, elimu yako unaicha pembeni kabisa, wote mnatakiwa mjaliane, mtimize majukum yenu, mjue kabisa elim zenu ni ziada kenye mapenz.Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa.
Kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Abeeee[emoji13] [emoji13] [emoji13]Siku hizi nimeona wimbi la wakina dada wakiweka kigezo cha mume mwenye degree, hivi kwanini nanyi mnataka wenye degree?
Daah! mtoto wa Best yangu una point, hakika best yangu espy amekupa urithi mzuri sana wa elimu.Abeeee[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nafikiri tunassume kadegree kanaonyesha somehow brain ya mtu iko vizuri, ana uwezo wa kucomprehend na kuchambua mambo. At least tunaweza tukawa na common understanding kwenye mambo mengi. Na ni level ya elimu ambayo angalau tunaamini inaweza ikamuweka mtu vizuri kwenye ramani financially
Kingine ni kuondoa inferiority complex kwa sababu kuwa na mwanaume uliyemzidi elimu na still akawa confident; ni wachache. Na dada zako unatujua, Yes No nyingi, sasa Le mbabes akijua kiinglish na yeye, inatusaidia sawa kuwa comfortable kubreak an egg.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukioa PhD na mwanaume huna ni kujinunulia tatizo la kisaikolojia
Hii ni moja wapo ya sababu iliyonifanya mimi nikimbie kabisa kuoa Bongo. Nakumbuka wakati nipo mwaka wa pili chuo huko Mji kasoro kisima, nilikuwa naishi off campus, nyumba niliyokuwa naishi kuna jamaa mmoja alikuwa mwaka wa tatu anaishi na kabinti fulani kazaliwa ka huko moshi tena ndio kalikuwa first year. Yaani niliyokuwa nayaona mpaka yanatia kinyaa sijui ni kipi walichokuwa hawakifanyi ambacho wana ndoa wakawaida wanakifanya, Halafu jamaa alivyomaliza tu akaamsha zake kenyewe kakabaki kapweke hadi kakaamia kwa wenzie.
Hapa bongo wanaume wengi mnaoa wake za watu hasa hawa wasomi, lakini ngoma droo hata wao wanaolewa na wanaume za watu na dio maana kuchepuka hakuishi.
Weee si hamtaki kuoa learned sisters nyie (+ ubabe wa kinyaki teh), nimehamia kwa wife materials walimuDaah! mtoto wa Best yangu una point, hakika best yangu espy amekupa urithi mzuri sana wa elimu.
Bila shaka utakuwa learned sister wewe (lawyer)[emoji23][emoji23]
Siku ya kupokea Mahari yako nami niwepo[emoji23]
Missing you babyWeee si hamtaki kuoa learned sisters nyie (+ ubabe wa kinyaki teh), nimehamia kwa wife materials walimu
Sipata bahati tu ya kukutana na learned sisters wala zao hao, alafu mbona wewe ubabe wa kinyaki huna[emoji23][emoji23] au mchanganyiko wewe?Weee si hamtaki kuoa learned sisters nyie (+ ubabe wa kinyaki teh), nimehamia kwa wife materials walimu
Missing you too swts. Za wewe?Missing you baby
Haha mchanganyiko ila kaubabe kapo kwa kweli, japo ni mpole kweli kweli koh kohSipata bahati tu ya kukutana na learned sisters wala zao hao, alafu mbona wewe ubabe wa kinyaki huna[emoji23][emoji23] au mchanganyiko wewe?
Mbona hau sound kama ticheri kabisa
Hahaha huo ubabe utamfanyia nani kwa upole ulionao?Haha mchanganyiko ila kaubabe kapo kwa kweli, japo ni mpole kweli kweli koh koh
Jamani mbona ukinisoma tu unafeel kabisa vibes za kiticha! ![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh kuna siku shemeji ako anatamanigi anifunge kwenye gift paper akanitoe tu zawadi kwa wapendwa, apumue na ukorofi wanguHahaha huo ubabe utamfanyia nani kwa upole ulionao?
Kwakweli hizo vibes sizioni kabisa
Basi unamfanyiaga kusudi tu maana kuna torture flaani kwa wapenzi ufanyiana huwa zinauma ila hazichoshiTeh kuna siku shemeji ako anatamanigi anifunge kwenye gift paper akanitoe tu zawadi kwa wapendwa, apumue na ukorofi wangu
Mimi mwalimu haswa, tena wa sayansikimu