Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SISI AMBAO MAMA ZETU WALIKIMBIA UMANDE TUTAOA MWANAMKE MZURI NA SIO KUOA ELIMU YAKE KWANZA WASOMI WENGI PASUA KICHWA.Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
sekondari au diplomaMkuu elimu ya kati ndiyo ipi hiyo?
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Hamna kitu hapaUkiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Mkuu,Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.