Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree

Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
SISI AMBAO MAMA ZETU WALIKIMBIA UMANDE TUTAOA MWANAMKE MZURI NA SIO KUOA ELIMU YAKE KWANZA WASOMI WENGI PASUA KICHWA.
 
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.

HAPA UTAJUA WANAWAKE AMBAO HAWANA DEGREE HUMU JF WATAJITETEA TU.
 
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Hamna kitu hapa
 
Mkuu ungeona maisha wanayoishi huko vyuoni, usingekuja kuandika haya.
 
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Mkuu,

Degree mbona zinanunuliwa tu siku hizi?

Ina maana hufuatilii hata habari za wiki hii mkuu?
 
Back
Top Bottom