Hayo mafuta Hata Rav 4 old model unatembea zaidi ya km 140,Mmmmh 18km/L?? Mbona hii yangu inabugia sana? Yani jmos nmeweka mafuta ya sh.45 ambayo ni litre 18 hadi leo nmetembea km82 imeanza kuwasha tar ya mafuta....naombeni msaada wa kiufundi juu ya hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inaizidi kweli passo? Maana nazo zipo nyingi sana hapa bongoUkisimama shekilango njia panda, mwenge njia panda ya ubungo, ubungo mataa njia panda, tabata relini njia panda, buguruni mataa, tazara mataa, keko njia panda chang'ombe KATIKA GARI(make) 10 TOFAUTI ZINAZOPITA IST tatu au nne lazima zipite.
Gari zinapendwa sana na watanzania hizi.
Mzee unatoka kwenye passo unahamia kwenye vits, hapo ni sawa na kumuacha Wolper na kwenda kwa UwoyaKuna hizi vitz new model, zina cc 990.
Naweza pata kwa bei gan mpk barabaran?
We huoni wese linapanda kila kukichaa??Mzee unatoka kwenye passo unahamia kwenye vits,hapo ni sawa na kumuacha wolper na kwenda kwa uwoya
Nafahamu kuwa gari ni gari ila hapo kutoka kwenye passo kwenda kwenye vits sijaona unafuu,labda ingekuwa kwenye terios kid ina cc 650We huoni wese linapanda kila kukichaa??
Sasa ni mwendo wa kubana matumuzi.
Gari ni gari tu kaka
Body ya vitz new model iko kama ist, halafu ipo kijanjaNafahamu kuwa gari ni gari ila hapo kutoka kwenye passo kwenda kwenye vits sijaona unafuu,labda ingekuwa kwenye terios kid ina cc 650
10 m only and it'll be yours all the way from japanBody ya vitz new model iko km ist, afu ipo kijanja
1298
vits rs ina engine kama ist
Kabadilishe Plug mzee.Mmmmh 18km/L?? Mbona hii yangu inabugia sana? Yani jmos nmeweka mafuta ya sh.45 ambayo ni litre 18 hadi leo nmetembea km82 imeanza kuwasha tar ya mafuta....naombeni msaada wa kiufundi juu ya hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mashine ikishaanza kuchoka ni shida utabadilisha kila kitu lkn bado gari itakula mafuta Tu....Kabadilishe Plug mzee.
Kuna Gari inakunywa mkojo?Hayo magari yanayokunywa mafuta kanunueni nyie wenye pesa za kuchezea
r4 ni gari ngumu na nzuri upate yaku select 4w utajutia maahuzi yako na spear zake azisumbuiiiiiIle miaka mitano ya kwanza ya Kikwete R4 zilikuwa habari ya mjini mpaka ziliitwa “kitchen party”.
utajutia maamuzi yako[emoji777]r4 ni gari ngumu na nzuri upate yaku select 4w utajutia maahuzi yako na spear zake azisumbuiiiii
Hazisumbu----Hazisumbuiutajutia maamuzi yako[emoji777]
....hutajutia maamuzi yako..[emoji3581]
spear zake azisumbui..[emoji777]
spare zake hazisumbu [emoji3581]
[emoji38][emoji38]Hazisumbu----Hazisumbui