stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
mi nakumbuka wadogo zangu walikuwa wananyonya mpaka mama akipata mtoto mwingine basi dogo ndo anamuachia mwenzie; dogo wa mwisho ndo nlishuhudia akinyonya mpaka alipoingia darasa la kwanza ndo akaacha tena aliachishwa kwa nguvu na sio kupenda yeye (huyu alianza shule na miaka 5 amerukishwa darasa primary na o level) in short he is the brightest kid in the family na ana umbo kubwa kuliko ndugu wote