Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake katikati ya uhasama wa Marekani/Magharibi dhidi ya Urusi/China/Mashariki.

Niligoogle AI kuhusu ushirika wa Non aligning Movement na mojawapo ya issue ni non interference of internal affairs....

kwa muktadha huu hakuna nchi inapaswa kuingilia masuala yetu ya ndani kama ina nia ya kushirikiana nasi katika maendeleo na ustawi wetu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Maswala ya ndani kama ni haya ya kuua watu dunia itaingilia tu.
 
Hata mkichagua upande wa kufungamana, mnalipi la kuwasaidia huo upande?
 
Lilijulikana awali kuwa hatuna uwezo huo ndio maana tulichagua upande wa kutokuwa na upande hasimu
 
Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake katikati ya uhasama wa Marekani/Magharibi dhidi ya Urusi/China/Mashariki.

Niligoogle AI kuhusu ushirika wa Non aligning Movement na mojawapo ya issue ni non interference of internal affairs....

kwa muktadha huu hakuna nchi inapaswa kuingilia masuala yetu ya ndani kama ina nia ya kushirikiana nasi katika maendeleo na ustawi wetu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Utter nonsense. Sera ya kutofungamana na upande wowote isn’t a license to engage in violations of human rights!
 
usichanganye mada....je Tanzania ina sera ya kudai haki kwa maandamano?hata uhuru wetu tuliupata kupitia diplomacy !
 
Haiwezekani uue watu wako kisha uheshimiwe huko nje, au hata hapo ndani kwako.
 
Back
Top Bottom