Sababu ni ipi jiji la Mbeya kukosa show za wasanii?

Sababu ni ipi jiji la Mbeya kukosa show za wasanii?

Mbeya hamna club? Japo sio mpenzi wa club je city pub?? Maeneo ya wazi ya starehe mbeya canivo vp mbeya pazuri nasoma marafiki au Ulitaka nini. Mambo ya kuenda kuona vibongo fleva ni ya zamani na ya kishamba sana
Marafiki Mamajohn imefungwa mzee, ukata
 
Mbeya starehe zetu ni tofauti, usitake kulazimisha tulingane na maeneo mengine. Ukija Mbeya uliza tunachofanya usituletee astaarabu wako. Mbeya tunapenda zaidi pickn8ck na tour kuliko kwenda club. Kwa wapenda Club za maana wengi huvuka mpka kwenda Zambia, we like to keep that way.
Wakati vijana wa maeneo mengi nchini wakisukumizana kwa wingi kwenda Dar, idadi ya watu waliotoka Mbeya kwenda maeneo yote nchini haifikii hata nuxu ya idadi ya vijana toka mkoani Mbeya wanaokwenda nchi za nje kwenda kutafuta maisha.
Bakini na ustaarabu wenu tuacheni na wa kwetu.
Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]
 
Hizo bata za picknick sio za watu wengi mbeya, ni wachache mno, kuna park nzuri tu ya kupumzika imejengwa karibu na uwanja wa sokoine ila ni nadra sana kukuta watu wameenda picknick hapo, hio park ukiwakita watu basi ni ishu za mapenzi na nmewahi kukuta condom kadhaa zilizotumika hio park. Labda unakaa mbeya ya uzunguni lakini kwajinsi watu wa mbeya walivyo picknick wengi hawajawahi kwenda na ikitokea wameenda basi ni tbt.

Sijui kama wewe ni wa mbeya au wakuja, Kwa Mara ya pili unaongea kitu ambacho hakijazoeleka hapa Mbeya, hayo mambo ya kwenda clubs za mpakani labda kwa wakazi wa songwe wanaoishi tunduma kwenye pesa zao, ila kwa Mbeya hii style ya bata haijazoeleka,
 
Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]
Ndio namshangaa katoa haya mambo wapi, hizi bata alizoandika sio maisha halisi ya wakazi wa Mbeya, wanaokula bata kwa style hii wapo ila ni wachache mno.
 
Hizo bata za picknick sio za watu wengi mbeya, ni wachache mno, kuna park nzuri tu ya kupumzika imejengwa karibu na uwanja wa sokoine ila ni nadra sana kukuta watu wameenda picknick hapo, hio park ukiwakita watu basi ni ishu za mapenzi na nmewahi kukuta condom kadhaa zilizotumika hio park. Labda unakaa mbeya ya uzunguni lakini kwajinsi watu wa mbeya walivyo picknick wengi hawajawahi kwenda na ikitokea wameenda basi ni tbt.

Sijui kama wewe ni wa mbeya au wakuja, Kwa Mara ya pili unaongea kitu ambacho hakijazoeleka hapa Mbeya, hayo mambo ya kwenda clubs za mpakani labda kwa wakati wa songwe wanaoishi tunduma kwenye pesa zao, ila kwa Mbeya hii style ya bata haijazoeleka, Labda ungewalenga wanapenda Matema.
Yaani wewe unaongelea habari za park ya hapo karibu na Sokoine? Unakosea zaidi unapojaribu kuulizia kama mi ni wakuja au mzawa, rudi kwenye uhalisia.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]
Kwa hiyo wewe hauhitaji kujua kipi ni kipi isipokuwa unataka ujuacho na unachotuhumu ndiyo kiwe hivyo hivyo au? Ikiwa tofauti na utakavyo ndiyo mnaita mbwembwe za kihaya.
Haya ngoja tuwaachieni uzi mfananao mawazo ili mburudike mtakavyo.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Yaani wewe unaongelea habari za park ya hapo karibu na Sokoine? Unakosea zaidi unapojaribu kuulizia kama mi ni wakuja au mzawa, rudi kwenye uhalisia.
Mkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.

Sasa hii picnic ipo kishua flani hivi, kwa watu wanaoweza kumudu hivi vitu Mara nyingi ni wenye magari yao ama ya kukodisha.

Picnic kwa mbeya sio utamaduni wa wengi, wengi walishazoea kwenda mamajoni kula chipsi na kitimoto hapo kwao ndio picnic tena kwa bei rahisi tu,

nadhani unajua kabisa hili jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana na ndio kitu moja wapo kinachowaogopesha watu hata wasiwe na muda wa picnic ili kukwepa gharama zake.

Labda wewe utakua pande za uzunguni huko ambako kuna familia ama kikundi cha marafiki kwao picnic ni vitu vya kawaida,

Mbeya haina nyota ya burudani, hadi sasa hakuna sehemu ya cinema wala night club iliyosimama.
 
Mkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.

Sasa hii picnic ipo kishua flani hivi, kwa watu wanaoweza kumudu hivi vitu Mara nyingi ni wenye magari yao ama ya kukodisha.

Picnic kwa mbeya sio utamaduni wa wengi, wengi walishazoea kwenda mamajoni kula chipsi na kitimoto hapo kwao ndio picnic tena kwa bei rahisi tu,

nadhani unajua kabisa hili jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana na ndio kitu moja wapo kinachowaogopesha watu hata wasiwe na muda wa picnic ili kukwepa gharama zake.

Labda wewe utakua pande za uzunguni huko ambako kuna familia ama kikundi cha marafiki kwao picnic ni vitu vya kawaida,
Mkuu watu wa Mbeya hata usihangaike nao wanajielewa wenyewe Tu

Ukitaka kujua hilo ukutane nao huku mikoani halafu uwe haujawahi kufika mbeya unaweza kutamani kukopa nauli hata kama hauna maana wanavyopasifia ni kama mji Fulani hivi wa maana kumbe upupu tuu

Pia usela mavi wa vijana wa Mbeya, kujikuta wao ndiyo wajanja wanajua kila kitu kumbe holla tuu
 
Mkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.

Sasa hii picnic ipo kishua flani hivi, kwa watu wanaoweza kumudu hivi vitu Mara nyingi ni wenye magari yao ama ya kukodisha.

Picnic kwa mbeya sio utamaduni wa wengi, wengi walishazoea kwenda mamajoni kula chipsi na kitimoto hapo kwao ndio picnic tena kwa bei rahisi tu,

nadhani unajua kabisa hili jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana na ndio kitu moja wapo kinachowaogopesha watu hata wasiwe na muda wa picnic ili kukwepa gharama zake.

Labda wewe utakua pande za uzunguni huko ambako kuna familia ama kikundi cha marafiki kwao picnic ni vitu vya kawaida,
Okay sasa umekuja vizuri. Umekuja kimjadala zaidi.
Ni hivi si kweli kwamba mzunguko wa Pesa Mbeya ni mdogo, kama utakumbuka vizuri Mbeya ni kati ya wanaochangia sana pato la taifa ila serikali imekuwa haiwarudishii wana Mbeya kile wanachostahiki kupitia maendeleo. Uendelezwaji wa mkoa wa Mbeya na jinsi uuonavyo ni matokeo ya nguvu za individuals wa mkoa huo.
Aina ya uwekezaji ambao tulitarajia seikali kuufanya mkoani humo ili ku influence maendeleo ni kama vile uwanja wa ndege (ambao hivi sasa tunao), na miundo mbinu mingine kama barabara majengo ya ofisi na kuviinua vivutio vingine vilivyomo mkoani humo. Siasa zimechangia sana kuua mkoa wa Mbeya.

Kuhusu kukosekana kwa Clubs.
Tatizo kubwa lililopelekea mkoa wa Mbeya kuwa nyuma upande wa clubs and the likes ni suala zima la usalama. Kama utakumbuka kumekuwa na matukio ya ujambazi na upigwaji nondo watu ulishamiri sana hapo mkoani na mida watu kupigwa nondo ilikuwa ni baada ya giza kuingia, mbaya zaidi swala hilo lilihusishwa na imani za kishirikina hivyo unaweza ukaona namna vile jamii inapokuwa na hofu katika kuitikia mabadiliko yanayokuwa yanaletwa ndani ya jamii husika.
Watu watapata wapi ujasili wa kutoka nyumbani usiku kwa ajili kwenda kula bata!? Sasa hivi Mbeya ina recover kutoka kwenye majeraha hayo ya kisiasa, ujambazi na kishirikina.
Pia, to underline that and conclude, Mbeya si wapenzi wa Bongo fleva
 
The nature of mbeya sio watu wa bata sana kama unavyofikiria so hata mtu ukifanya hakuna mwamko mkubwa
kule ungekuwa mtu wa dini ndio ungejionea show mbalimbali sana
 
Mkoa wa mbeya madem wengi sio wazuri pia hawajui kuvaa hivyo wengi wanaona haya matamasha ya bongo fleva hayawafai ata wanaoandaa show target kubwa inakuwa ni madem ambao wataenda na wapenzi wao sasa ndo mana promota anaogopa kula hasara
 
Wapenda burudani ni kanda ya ziwa Bukoba Mwanza Shinyanga na mashariki Dar pwani na Moro kazkazini unakutana Arusha tu Kilimanjaro hawajui burudani bahili sana na Kusini Mtwara kanda ya kati Dodoma hiyo ndio mikoa inayo lipa kwa matamasha na burudani
 
Yani inafika siku kama ijumaa ma jumamosi usiku namna cha msanii yeyote aliekuja kupiga show unaishia kuwaona tu YouTube na instagram ukiwa mkazo wa hili jiji,

sio hivyo tu hata clubs za kwenda kucheza mziki hili jiji wapo nyuma sana, zamani zilikuwpo royal pamodzi na Livingstone ila kwa sasa ni sawa na hakuna.

Unakuta wasanii hadi sumbawanga wanafika, hata mkoa wa karibu Iringa idadi yao ya show inaridhisha.

Mbeya nakumbuka msanii wa mwisho kuja alikuwa ni Mbosso kwenye ile Miss mbeya miezi kama minne hivi iliyopita, tangu hio show sijasikia tena kuna msanii mkubwa kaja kupiga show.

Zamani kidogo walisingizia vyuo vinavyichochea wasanii waje ni vichache ila kwa sasa kumekuwa na vyuo vingi hapa mjini kuanzia Saut pale mafiati, Tia hapo hapo mafiati, Mzumbe eneo la forest, Teku pande za block T, na vyuo vingine kama cbe na adem vilivyopo hapa town. Must sijaiweka kwasababu vijana kila muda wanaopiga misuli mizito.

Sasa najiuliza hivi ni kwanini wasanii hawatafutwi na mapromota au kujiandalia show Mbeya?????
sisi wana MBEYA upo bize na shughuli
 
Mkoa wa mbeya madem wengi sio wazuri pia hawajui kuvaa hivyo wengi wanaona haya matamasha ya bongo fleva hayawafai ata wanaoandaa show target kubwa inakuwa ni madem ambao wataenda na wapenzi wao sasa ndo mana promota anaogopa kula hasara
mbona mi demu wangu ni mkali kinoma noma
 
Trust me even more! Mbeya hata uweke show za bure, huwa hatujai uwanjani! Lakini njoo kwenye bars au maeneo mengine yasiyo na wasanii ujionee nyomi!
 
wakinga wapo wengi sana hapa mjini wao usiku wako km baiskel hawalali vitandani wengi wanalala wamesimama ila pesa inaingia lakini huwezi kwenye show za kijinga
 
Back
Top Bottom