Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Marafiki Mamajohn imefungwa mzee, ukataMbeya hamna club? Japo sio mpenzi wa club je city pub?? Maeneo ya wazi ya starehe mbeya canivo vp mbeya pazuri nasoma marafiki au Ulitaka nini. Mambo ya kuenda kuona vibongo fleva ni ya zamani na ya kishamba sana
Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]Mbeya starehe zetu ni tofauti, usitake kulazimisha tulingane na maeneo mengine. Ukija Mbeya uliza tunachofanya usituletee astaarabu wako. Mbeya tunapenda zaidi pickn8ck na tour kuliko kwenda club. Kwa wapenda Club za maana wengi huvuka mpka kwenda Zambia, we like to keep that way.
Wakati vijana wa maeneo mengi nchini wakisukumizana kwa wingi kwenda Dar, idadi ya watu waliotoka Mbeya kwenda maeneo yote nchini haifikii hata nuxu ya idadi ya vijana toka mkoani Mbeya wanaokwenda nchi za nje kwenda kutafuta maisha.
Bakini na ustaarabu wenu tuacheni na wa kwetu.
Hizo bata za picknick sio za watu wengi mbeya, ni wachache mno, kuna park nzuri tu ya kupumzika imejengwa karibu na uwanja wa sokoine ila ni nadra sana kukuta watu wameenda picknick hapo, hio park ukiwakita watu basi ni ishu za mapenzi na nmewahi kukuta condom kadhaa zilizotumika hio park. Labda unakaa mbeya ya uzunguni lakini kwajinsi watu wa mbeya walivyo picknick wengi hawajawahi kwenda na ikitokea wameenda basi ni tbt.Mbeya starehe zetu ni tofauti, usitake kulazimisha tulingane na maeneo mengine. Ukija Mbeya uliza tunachofanya usituletee astaarabu wako. Mbeya tunapenda zaidi pickn8ck na tour kuliko kwenda club. Kwa wapenda Club za maana wengi huvuka mpka kwenda Zambia, we like to keep that way.
Wakati vijana wa maeneo mengi nchini wakisukumizana kwa wingi kwenda Dar, idadi ya watu waliotoka Mbeya kwenda maeneo yote nchini haifikii hata nuxu ya idadi ya vijana toka mkoani Mbeya wanaokwenda nchi za nje kwenda kutafuta maisha.
Bakini na ustaarabu wenu tuacheni na wa kwetu.
Ndio namshangaa katoa haya mambo wapi, hizi bata alizoandika sio maisha halisi ya wakazi wa Mbeya, wanaokula bata kwa style hii wapo ila ni wachache mno.Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]
Yaani wewe unaongelea habari za park ya hapo karibu na Sokoine? Unakosea zaidi unapojaribu kuulizia kama mi ni wakuja au mzawa, rudi kwenye uhalisia.Hizo bata za picknick sio za watu wengi mbeya, ni wachache mno, kuna park nzuri tu ya kupumzika imejengwa karibu na uwanja wa sokoine ila ni nadra sana kukuta watu wameenda picknick hapo, hio park ukiwakita watu basi ni ishu za mapenzi na nmewahi kukuta condom kadhaa zilizotumika hio park. Labda unakaa mbeya ya uzunguni lakini kwajinsi watu wa mbeya walivyo picknick wengi hawajawahi kwenda na ikitokea wameenda basi ni tbt.
Sijui kama wewe ni wa mbeya au wakuja, Kwa Mara ya pili unaongea kitu ambacho hakijazoeleka hapa Mbeya, hayo mambo ya kwenda clubs za mpakani labda kwa wakati wa songwe wanaoishi tunduma kwenye pesa zao, ila kwa Mbeya hii style ya bata haijazoeleka, Labda ungewalenga wanapenda Matema.
Kwa hiyo wewe hauhitaji kujua kipi ni kipi isipokuwa unataka ujuacho na unachotuhumu ndiyo kiwe hivyo hivyo au? Ikiwa tofauti na utakavyo ndiyo mnaita mbwembwe za kihaya.Wanyakyusa hizi mbwembwe za kihaya mmeanza lini?[emoji3]
Mkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.Yaani wewe unaongelea habari za park ya hapo karibu na Sokoine? Unakosea zaidi unapojaribu kuulizia kama mi ni wakuja au mzawa, rudi kwenye uhalisia.
Mkuu watu wa Mbeya hata usihangaike nao wanajielewa wenyewe TuMkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.
Sasa hii picnic ipo kishua flani hivi, kwa watu wanaoweza kumudu hivi vitu Mara nyingi ni wenye magari yao ama ya kukodisha.
Picnic kwa mbeya sio utamaduni wa wengi, wengi walishazoea kwenda mamajoni kula chipsi na kitimoto hapo kwao ndio picnic tena kwa bei rahisi tu,
nadhani unajua kabisa hili jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana na ndio kitu moja wapo kinachowaogopesha watu hata wasiwe na muda wa picnic ili kukwepa gharama zake.
Labda wewe utakua pande za uzunguni huko ambako kuna familia ama kikundi cha marafiki kwao picnic ni vitu vya kawaida,
Okay sasa umekuja vizuri. Umekuja kimjadala zaidi.Mkuu tunazungumzia bata ambalo linaweza kulika na watu wengi, kwa mfano pale iringa msanii akija au pakiwa na mziki basi watu kutoka sehemu mbali mbali bila kujali sana hali ya uchumi kuanzia ipogolo mpaka gangilonga hujumuika.
Sasa hii picnic ipo kishua flani hivi, kwa watu wanaoweza kumudu hivi vitu Mara nyingi ni wenye magari yao ama ya kukodisha.
Picnic kwa mbeya sio utamaduni wa wengi, wengi walishazoea kwenda mamajoni kula chipsi na kitimoto hapo kwao ndio picnic tena kwa bei rahisi tu,
nadhani unajua kabisa hili jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana na ndio kitu moja wapo kinachowaogopesha watu hata wasiwe na muda wa picnic ili kukwepa gharama zake.
Labda wewe utakua pande za uzunguni huko ambako kuna familia ama kikundi cha marafiki kwao picnic ni vitu vya kawaida,
sisi wana MBEYA upo bize na shughuliYani inafika siku kama ijumaa ma jumamosi usiku namna cha msanii yeyote aliekuja kupiga show unaishia kuwaona tu YouTube na instagram ukiwa mkazo wa hili jiji,
sio hivyo tu hata clubs za kwenda kucheza mziki hili jiji wapo nyuma sana, zamani zilikuwpo royal pamodzi na Livingstone ila kwa sasa ni sawa na hakuna.
Unakuta wasanii hadi sumbawanga wanafika, hata mkoa wa karibu Iringa idadi yao ya show inaridhisha.
Mbeya nakumbuka msanii wa mwisho kuja alikuwa ni Mbosso kwenye ile Miss mbeya miezi kama minne hivi iliyopita, tangu hio show sijasikia tena kuna msanii mkubwa kaja kupiga show.
Zamani kidogo walisingizia vyuo vinavyichochea wasanii waje ni vichache ila kwa sasa kumekuwa na vyuo vingi hapa mjini kuanzia Saut pale mafiati, Tia hapo hapo mafiati, Mzumbe eneo la forest, Teku pande za block T, na vyuo vingine kama cbe na adem vilivyopo hapa town. Must sijaiweka kwasababu vijana kila muda wanaopiga misuli mizito.
Sasa najiuliza hivi ni kwanini wasanii hawatafutwi na mapromota au kujiandalia show Mbeya?????
mbona mi demu wangu ni mkali kinoma nomaMkoa wa mbeya madem wengi sio wazuri pia hawajui kuvaa hivyo wengi wanaona haya matamasha ya bongo fleva hayawafai ata wanaoandaa show target kubwa inakuwa ni madem ambao wataenda na wapenzi wao sasa ndo mana promota anaogopa kula hasara
Bongo movie na bongo freva tunawaachia nyie, mkuu!Mbeya ni mji wa masela mavi hauwezi fanya biashara ya entertainment ikakulipa. Wana ujanja fulani hivi wa aina yao.