Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Hakuna thread inayochukiwa na wanawake kama ya aina hii utadhani na wao hawatapata watoto wa kiume!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mama yako anaweza je yule mama aliemchoma moto mwanae na petrol je anaweza.
Wamama wote sio sawa

Lakin pia kibongo bongo kwetu je inawezekana mama anawatoto wa 5 tajiri ni mmoja je ataweza tunza mali zako na aache ndugu zako wakiteketea kwenye shimo
La ufukala,

Lakin km ww ni mfuatiliaji mzuri wa wasanii wa kimarekan utaona ata wao pia wanachangamoto
Na wazazi wao britany spear ata beyonce alimuweka mzazi yake manager na mwisho wa sku baba akataka mzurumu mali mwanae

Cha muhimu ni kuomba tu mungu akujalie mke mwema na familia yenye maadili bas
Binadamu hawaaminiki ata mama yako anaweza kukuzunguka
 
Maua yako mkuu 😊
 
Hivyo hiyo namba moja je migogoro isipotokea kwenye hiyo ndoa yako inakuwaje hapo?

Na kwa nini uiwazie ndoa yako mabaya?
 
Siku ya siku hizo mali zitagawiwa kama urithi kwa ndugu zako, maana watadai urithi toka kwa mama yao. Pia zinaweza kupigwa mnada endapo alikuwa na madeni.
 

Tafiti juu ya masuala ya miradhi huko ulaya zilionesha kuwa, Wanaume ndio huandika wake zao kwenye miradhi ILA wanawake kwa kiasi kikubwa kabisa huandika wazazi na ndugu zao.

MUHIMU; Usijilimbikizie mali sizizo halali kwani ukimaliza miaka yako 80 ya hapa duniani utaondooka kwenda kupambana na Mungu wako.... (utajutia sana ila hutakuwa na namna) wakati huku nyuma waliobaki wanazichezea tu.....
Siku za mwisho zitakuwa ngumu sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…