Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Wengi humu wanakomenti kama matahira au wavulana ila ni mara mia ndugu zako wale hiyo mali kuliko mali hiyo ukaona inaliwa na mwanaume mwenzako ambaye anakuwa ndo kakurithi tunda lako,,,hakuna dharau kubwa kama hii😂😂😂.


Nyie wavulana mnaetengeneza kasumba oohhh mara vipi kama maza akifa eleweni tu kuwa hao wanawake zenu bado hamjawajua vizur na siku mkiwajua mtakuwa mmechelewa sana na hamna la kufanya.

Kama humuamini mamako andika watoto na ustate hiyo mali ni WAKFU😁😁😁😁yaani haiuzwi mpaka wewe ufufuke uje ubatilishe hiyo sheria.Unaweza ukaandika watoto lakini mwananke akaja akasimama kama msimamizi wa mali na kama mali zipo anaweza akaanza kucheza rafu na kuanza kutumbua mali.Dawa hapo ni kustate hiyo mali ni WAKFU🥱🥱🥱hapa utakuwa umemaliza maana hata hao watoto hawataweza kuiuza hiyo mali mpaka ufufuke uje utie wino😂😂😂

Huwezi kabisa andikisha ukifa mali zithaminishwe ziuzwe ziwekezwe kwenye hisa/ Bond za serikali then zifunguliwe account hela ziwe zinaingizwa kwa watoto kwa mfumo huo wa divident, hela hizo zitawasaidia kwenye elimu na mambo mengine.

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, make use of this son on your favour,,,,,women are selfish creatures use them to your advantage🙏 kama unatumali(vimali),,,,wacha wenye mali waende na hisa/ Bond na WAKFU.

###Stay toxic, be rational 👍always know the game is brutal and not on your favour.Never be soft!!!use ur brain to think not your pen*s!!!!
 
Mamaako ni mke wa mtu akifa yeye anachukua Mali zote mumewe(huyo mumewe anaweza kuwa babaako au asiwe)

Kama Hana Mume (single mother au Mjane) ikatokea amedondoka Mali zote zitagawanywa pasu kwa pasu kwa ndugu mliozaliwa wote kwa huyo Mama..

Mali ni kwaajili yako MWENYEWE.
Mali ni kwaajili ya watoto na kizazi chako.
Bora mali zangu wagawane ndugu zangu.....kuliko watu baki kutoka ukoo mwingine
 
Kwa dunia ya sasa hakuna nafuu wala afadhali unaweza muamini huyo Mzazi wako na mwisho wa siku akakuzingua vile vile.
Kuzinguliwa na bi mkubwa au mpenzi kipi kinauma zaidi!??
 
Back
Top Bottom