Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Mimi mali zangu nitawaandika mama yangu ili ndugu zangu waje kurithi.....watoto wangu watarithi kwenye mgao huo

😂😂
Utawapa kama zawadi tuu lakini kamwe ndugu yako au Mama yako hawezi kurithi chochote kutoka kwako.

Mtoto hurithi kutoka kwa wazazi
Mzazi hawezi kurithi chochote kutoka kwa mtoto.

Alafu ukiwapa ndugu hizo Mali zako kama zawadi wao wanahaki ya kuzitumia watakavyo kwa sababu sio zako tena Bali Zao.
Wao wanahaki ya kuwarithisha watoto wao Mali ulizowapa kama zawadi na kuwanyima watoto wako kwa sababu watoto wako hawana haki ya kurithi chochote kutoka kwa ndugu zako.

Halikadhalika na Mama au Baba yako, watoto wako hawana haki ya kudai urithi kwa Bibi au Babu yao.

Watoto wako wanauhalali na hki zote kumdai Mama yao(Mkeo) Mali ulizompa kwani huyo ni Mama yao.

Kibaolojia, mtoto hurithi na kuchukua 23 chromosomes kila kwa Mama na Babaake na sio ndugu zako au mama au Baba yako.
Weka hiyo akilini.
 
Je mkipata divorce halafu mke akapewa watoto inakuwaje!?
Haimanishi haki zao zitapotea.

Just imagine mama wa marehemu Deo philopo njombe
Alivyokuwa akimzoom mkulima wake akitumbua Mali zilizoachwa na mwanae na viben 10.
 
😂😂
Utawapa kama zawadi tuu lakini kamwe ndugu yako au Mama yako hawezi kurithi chochote kutoka kwako.

Mtoto hurithi kutoka kwa wazazi
Mzazi hawezi kurithi chochote kutoka kwa mtoto.

Alafu ukiwapa ndugu hizo Mali zako kama zawadi wao wanahaki ya kuzitumia watakavyo kwa sababu sio zako tena Bali Zao.
Wao wanahaki ya kuwarithisha watoto wao Mali ulizowapa kama zawadi na kuwanyima watoto wako kwa sababu watoto wako hawana haki ya kurithi chochote kutoka kwa ndugu zako.

Halikadhalika na Mama au Baba yako, watoto wako hawana haki ya kudai urithi kwa Bibi au Babu yao.

Watoto wako wanauhalali na hki zote kumdai Mama yao(Mkeo) Mali ulizompa kwani huyo ni Mama yao.

Kibaolojia, mtoto hurithi na kuchukua 23 chromosomes kila kwa Mama na Babaake na sio ndugu zako au mama au Baba yako.
Weka hiyo akilini.
Nitawapa kama zawadi......
 
Mkemia mkuu wa serikali amethibitisha kuwa karibia 80% ya watoto sio watoto waliopimwa DNA hawana vinasaba na wanaowaita baba zao
Amepima DNA za watoto wote Tanzania? Hiyo ni rekodi inatokana na wazazi ambao wameenda kupima DNA, na mtu anaenda kupima DNA sababu tayari kuna asilimia kubwa ameona mtoto yamkiji sio wake.
 
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala ya mpenzi wao.
Hapa kuna sababu tano ambazo zimenitia moyo kutamani kufanya hivyo:

1. Ulinzi wa Mali katika Nyakati za Mgogoro

Moja ya sababu kuu za kuweka mali kwenye jina la mama ni kulinda mali hizo wakati wa mgogoro, hasa wakati wa talaka au kutengana. Kwa kuwa mama sio mshiriki katika uhusiano wa kimapenzi, mali hiyo itakuwa nje ya mzozo wowote wa kisheria unaoweza kutokea. Hii inasaidia kuhakikisha kuwa mali yako inabaki salama na inalindwa.

2. Uhakika wa Urithi wa mali na fedha zako.

Kuweka mali kwenye jina la mama kunaweza kurahisisha mchakato wa kurithi. Kwa kawaida, sheria nyingi hupa wazazi haki ya kurithi mali za watoto wao. Kwa hivyo, kwa kuweka mali kwenye jina la mama, unahakikisha kuwa itakuwa sehemu ya urithi wake na inapita kwa familia yako.

Ni mara mia ukikata moto mali zote ziwe chini ya bi mkubwa kuliko kwenda kwa bi mdada ambaye kiasili atakwenda kwa mtu mwingine punde tu baada ya wewe kuondoka. Unaweza kuacha nusu ya mali ziende kwa mwanamke endapo kama mmepata baraka ya watoto.

3. Uaminifu na Utulivu wa Kifedha
Mama mara nyingi huwa mtu wa kuaminika na mwenye utulivu wa kifedha. Kwa kuweka mali na fedha zako kwenye akaunti yake, unaweza kuwa na uhakika kuwa fedha zako ziko salama na zitatumika kwa busara.

Mama wako anaweza kukusaidia kusimamia fedha zako, pamoja na miradi yako huku akiwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa zinatumika kwa mahitaji muhimu na kuwekeza kwa busara na wakati mwingine bila kuweka shurti wala mikwara ya kugoma.

4. Kuimarisha mahusiano na Mzazi wako.
Kuweka mali kwenye jina la mama ni njia nzuri ya kuimarisha uhusiano wako na mama yako. Unaonyesha uaminifu wako kwake na uthamini wako kwa mchango wake katika maisha yako. Pia, unahakikisha kuwa ana usalama wa kifedha na anaweza kutegemea msaada wako wakati wowote, ukizingatia ni mama ni mtu ambaye atakuwa nawe kwa uzima na ugonjwa.

Kwa kumalizia, kuweka mali kwenye jina la mama ni chaguo la kibinafsi ambalo linapaswa kufanywa kwa uangalifu. Kwa kuzingatia sababu hizi tano, unaweza kufanya uamuzi sahihi ambao utafaidika wewe na familia yako kwa muda mrefu.

Kwenye purukushani ambazo Ashraf Hakimi pamoja na Ben Zobrist wamezipitia basi wanaume tuna mengi ya kujifunza, muda wowote kinaweza kukuramba mapema sana.
Hapa kinacho takiwa kuzingatiwa ni kwamba katika maisha Kuna mamboma 2 yanafanana ila ni tofauti sana
1. Kuna mapenzi
2. Kuna urafiki

Unaweza kuwa na mpenzi ila asiwe rafikiako pia

Mama anaweza kuwa rafikiako katika maisha ukiachana na upendo wa nafasi yake kama mama.na pia upo uwezekano wa mama kutokuwa rafikiako wakalibu ndomaana Kuna mambo utazungumza na rafikiako na usimwambie mama.

Kwa Hali ya sasahivi imekuwa ngumu sana kumfanya mpenzi kuwa rafiki make mapenzi ya sikuhizi watu hawaaminiani ,yamekuwa ride and pass,unaempenda anae mtumwingine na kama ni mke au Mme basi hawaaminiani hata kidogo, hivyo rafiki nimtu Ambae Yuko open kwako na unamuamini na anakuwa kimbilio lakwanza katika uhitajio wa msaada pale likitokea tatizo hatakama unajua haliwezi .

Rafiki hujua Siri nyingi zako katika maisha hivyo huufanya moyowako kumuamini Kwa kiasikikubwa na pakitokea ugonvi Huwa hauchukui mda mref kuisha . Na urafiki ninao zungumzika hapa sio urafiki wa kuambizana kuwa TOKA LEO WE NIRAFIKIANG no namaanisha ule urafiki from no we're mnajikuta Kila MMOJA anabeba hisia za mwenzake kama zakwake .

Kwahiyo suala la kutunza Mali hili litazingatia ni nani rafiki wa muhusika kama mama ndo rafiki basi huyo atakuwa mtunzishwaji na lazima atakuwa anajua Siri nyingi za mwanae pia kama mpenzi ndo rafiki wa muhusika pia anaweza kutunza Mali na Kwa husahihi kwakuzingatia maelezo yangu ya hapo awali.

Sio Kila mtu anaweza kumfanya mamaake rafiki wakalibu hii itazingatia malezi na mahusiano ya mama na mwanae katika maisha walio dumu Kwa pamoja na sio Kila mpenzi anaweza kuwa rafikiako ndomaana Kuna mambo unaweza kuongea na rafikiako ila ukamficha mpenzi wako.
 
Ndugu zangu sio watu baki......

🤣🤣
Ndugu zako ni watu back kumbe ulikuwa hujui hilo.

Wao watazalisha ukoo na taifa jingine na wewe utazalisha ukoo na taifa jingine.
Ila watoto wako ndio ndugu zako

Rejea Ishmael na Isaka.
Yakobo(Israel) na Esau(Edom)
Makabila 12 ya Israel.
Kabila la Yuda haliwezi kurithi Mali za kabila la benjamin. Weka kichwani hiyo
 
Huko ni kutanua ukoo lakini udugu unabakia pale pale
 
Mkuu ho

Mkuu hoja yako ni kuwa ndugu zako hawana haki kabsa ya kurithi mali zako, watu ambao umekaa nao kwa zaidi ya miaka 10+ ila mwanamke ambaye umempata ndani ya 5- ndo ana haki zote!??
 
Mwambie aache pombe...
Maana si wote wanywaji
Dah ningekuwa naye hakika ningeringa Kaka Ila hayupo .

Tafadhali ukipata muda tafuta kibao Cha wimbo uitwao ningekuwa na wazazi ningewapeleka paradiso .

That song is a real story that I ever passed through Nigga.
 
😂😂
Utawapa kama zawadi tuu lakini kamwe ndugu yako au Mama yako hawezi kurithi chochote kutoka kwako.

Mtoto hurithi kutoka kwa wazazi
Mzazi hawezi kurithi chochote kutoka kwa mtoto.

Alafu ukiwapa ndugu hizo Mali zako kama zawadi wao wanahaki ya kuzitumia watakavyo kwa sababu sio zako tena Bali Zao.
Wao wanahaki ya kuwarithisha watoto wao Mali ulizowapa kama zawadi na kuwanyima watoto wako kwa sababu watoto wako hawana haki ya kurithi chochote kutoka kwa ndugu zako.

Halikadhalika na Mama au Baba yako, watoto wako hawana haki ya kudai urithi kwa Bibi au Babu yao.

Watoto wako wanauhalali na hki zote kumdai Mama yao(Mkeo) Mali ulizompa kwani huyo ni Mama yao.

Kibaolojia, mtoto hurithi na kuchukua 23 chromosomes kila kwa Mama na Babaake na sio ndugu zako au mama au Baba yako.
Weka hiyo akilini.
Kuliko kuwapa ndugu mali wa kazipigie totozi bora uzikabithi parokiani tu waendelee kuzipigia kondooo🤣
 
Huko ni kutanua ukoo lakini udugu unabakia pale pale

Vivyohivyo binadamu wote tumetoka sehemu Moja na wote ni ndugu Sheria za utawala hiyo kitu haipo.

Pale mashariki ya Kati wale wote ni ndugu kabisa. Uliza wanapigania Jambo gani kama sio urithi?

Siku ukifa ukiwa mtu mzima, wakwanza kutafutwa ni Mkeo na sio ndugu wala wazazi wako. Wapili ni watoto wako kama ni Wakubwa. Watatu ni wazazi na ndugu.
Protocols ya kiutawala kwa mtu IPO hivyo.

Ukiwa mtoto, wakwanza kuulizwa ni wazazi wako.
 
Mkuu ho
Mkuu hoja yako ni kuwa ndugu zako hawana haki kabsa ya kurithi mali zako, watu ambao umekaa nao kwa zaidi ya miaka 10+ ila mwanamke ambaye umempata ndani ya 5- ndo ana haki zote!??

Ungeoa ndugu yako Mmoja kama Hilo kwako ni shida. Tafuta binamu yako uoe kama hiyo kwako ni shida.

Kwenye protocol za kifamilia huwezi muacha mke alafu ukafuata ndugu zako wakati wewe tayari umeoa na unafamilia na watoto.

Labda kama unamaanisha unaishi na Malaya na sio Mke
 
Back
Top Bottom