Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko kuwapa ndugu mali wa kazipigie totozi bora uzikabithi parokiani tu waendelee kuzipigia kondooo🤣
Hata mimi nashangaa.Kila muunu ave na kwao!Kwani shida ipo wapi!? Kama mwanamke ana mali zake na mwanaume ana mali zake!? Tatizo lipo wapi!??
Ni vizuri kama hana mchepukoKwanini mama nasio baba ,Mimi ningeweka kwa baba
Baelezee baelezee.Mamaako ni mke wa mtu akifa yeye anachukua Mali zote mumewe(huyo mumewe anaweza kuwa babaako au asiwe)
Kama Hana Mume (single mother au Mjane) ikatokea amedondoka Mali zote zitagawanywa pasu kwa pasu kwa ndugu mliozaliwa wote kwa huyo Mama..
Mali ni kwaajili yako MWENYEWE.
Mali ni kwaajili ya watoto na kizazi chako.
Wewe tu.Kuna ujambazi ukwepwe.Kwanini mama nasio baba ,Mimi ningeweka kwa baba
Kwa mali gani Musa weeee 😛 😛 😛 😛Na tutaandika mama zetu kwenye mali hadi akili ziwasogee.😂😂😂
🤣🤣🙌Baelezee baelezee.
Unaweza kuandika majina ya watoto ukakuta hata watoto sio wako ni wamwafulani tu na anakuchora🤣🤣Andika majina ya watoto kama humuamini yeyote.
Mtoto akitumia vibaya ni juu yake lakini wewe kama Baba ulimuachia urithi kulingana na uwezo wako.
Ni jukumu la Baba kuacha urithi kwa kizazi chake.
Huko Kanisani nako hakuna maana kihivyo. Ni Sawa umepoteza nguvu bure na hukujua kwa nini unapambana kutafuta Mali
Unaweza kuandika majina ya watoto ukakuta hata watoto sio wako ni wamwafulani tu na anakuchora🤣🤣
Ndo utajua haujui 😃 halafu watoto wakiwa wakubwa wanakufungulia kesi ya unyanyasaji wa kingono, shahidi ni mama yao 😃 😀Unaweza kuandika majina ya watoto ukakuta hata watoto sio wako ni wamwafulani tu na anakuchora🤣🤣
Ni kwel mkuu ila binafsi assist huwa najitolea mimi kwanza nifunge goli kabla ya kutoa kwa mwingine 🤣🤣Huo sasa ni uzembe wako/wangu.
Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa watu huhangaika usiku na mchana kwaajili ya maisha yao na maisha ya kizazi chao sio kizazi cha ndugu.
Ingawaje unaweza kusaidia ndugu zako na jamii lakini haiondoi wajibu wako WA msingi ambao unakufanya kila siku uamke asubuhi.
Matajiri wote Wakubwa wengi wao walipambaniwa na wazazi wao na sio ndugu za wazazi wao.
Wengi wamerithi Mali za wazazi wao na sio kupewa zawadi na ndugu za wazazi wao.
Ni kwel mkuu ila binafsi assist huwa najitolea mimi kwanza nifunge goli kabla ya kutoa kwa mwingine 🤣🤣
Mapaja na vidari ni vya baba kwanza nyie wengine mtakula hivyo vingine bwashee🤣Ndo utajua haujui 😃 halafu watoto wakiwa wakubwa wanakufungulia kesi ya unyanyasaji wa kingono, shahidi ni mama yao 😃 😀
Wakati una pita Buchani kuchukua nyama ya familia hakikisha unakata ya kidari kwanza uchomewe hapo hapo, kaa kula shushia na tubia tu wili kwanza then ndio upeleke ya nyumbani sasa 🤣🤣🤣Watahakikisha unafungwa maisha au kunyongwa kabsa