Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi code nilipewa na babu yangu mkuu na aligonga 107🤣Hii cheat code nimeipenda
Ni nzuri lkn iwe kwa mtoto unaeelewana nae alasivyo cha mtoto ni cha mama, maana watoto huamini kwa mama ndio salama kama ambavyo hapa tunajadili kumrithisha mama!.Nikiandika wanangu Kuna shida gani..?!
Umetisha sana MkuuNi nzuri lkn iwe kwa mtoto unaeelewana nae alasivyo cha mtoto ni cha mama, maana watoto huamini kwa mimi ndio salama kama ambavyo hapa tunajadili kumrithisha mama!.
so ukimrithisha mtoto, mtoto nae anaweza kumpa mama yake ambae wewe hutaki hizo mali ziende kwake!..😀
Vipi kama hatuna watoto na tulikubaliana hakuna kuzaa hapa ni kugegeduana tuuIla humu 😒 hivi hata kuna sababu gani ya kuwa na mwenza kama unakuwa na mawazo kama haya? Hivi kuwa na partner doesn't means to flourish and grows together? Tujifunze kutengeneza na tulionao. Kama haiwezekani ni bora kila mmoja ashike njia yake. Ifike mahali tuache kuishi kinafki. Wakati wewee ukiwa unatafuta hizo unazoita mali huyo ke wako si anakuwa anabkubebea mimba, kukuzalia na kukulelea watoto?
Tafuteni mwanasheria na mkubaliane na kusaini prenup mapema kabsa 😃 kama alikukuta upo point 4.8 na sasa upo 5.1 na mkazinguana na kutalikiana basi anachukua 0.3 hiyo chapVipi kama hatuna watoto na tulikubaliana hakuna kuzaa hapa ni kugegeduana tuu
Kila mtu aishi kwake na condom zitumike 😁Vipi kama hatuna watoto na tulikubaliana hakuna kuzaa hapa ni kugegeduana tuu
Unaweza kuandika majina ya watoto ukakuta hata watoto sio wako ni wamwafulani tu na anakuchora🤣🤣
Ukimwandika mama kwenye mali zako hakikisha nayeye amekuandika wew kama mrithi pekee wamali zakeHasara nne za nguvu kuficha mali kwa jina la mama
1.Mama akiingia tamaa umeliwa
2.Mama yako akifa mali zake(ambazo ni zako) kuingia kwenye mgawanyo wa milathi.
3.Mama yako kama kaolewa na baba wa kambo ikitokea kifo mali zako zitamfaidisha mtu asie sahihi
4.Mali zako zikiingia kwenye mgogoro mama yako na uzee wake atatakiwa asimame kupambana yeye maana sheria haikutambui wewe
5.Akiumwa akawa hajitambui au karukwa na akili huwezi kupata access ya mali zako hili haswa kwenye acc
6.Mama akikumbwa ama kukutana na seke seke la TAKUKURU,MONEY LAUNDRYING mama anaweza akashindwa kujustfy hizo hela uhalali wake so unaweza msababishia mama kesi na kufungwa
7.Liability au hatia yoyote itayojitokeza kuhusu mali mama ndie ataetakiwa ajibu mfano Gari lako limegonga mtu ila lina jina la mama atajibia yeye nyumba or airbnb imepangishwa muuza ngada,gari imebeba wahamiaji haramu,nyumba kukutwa na wahamiaji haramu mama itamtaka ajibu hizo shutuma.
Anyway yapo mengi sema watu wengi wanaipenda hii mada ila hawana vya kuficha zaidi ya aibu zao ha ha ha mfano mimi labda nikafiche kwa mama ki stuli(stool)
Huyo ni mlezi mkuu na sio mzazi , mzazi lazima viungo vyako vya uzazi vihusike.Nijuavyo mzazi ni yule aliye lea; namaanisha aliyekaa na mtoto tangia uchanga/udogo, akimlea, kumsomesha nk
Hata hivyo mtu akijichanganya akazaa na mke wa mtu, ajue hana haki yoyote kisheria na mtoto aliyezaliwa
Na yule ambaye DNA inamtambua na wakati mwingine mpaka Dawati la Jinsia linampeleka mahakamani yeye ni baba au mzazi mwenza!??Nijuavyo mzazi ni yule aliye lea; namaanisha aliyekaa na mtoto tangia uchanga/udogo, akimlea, kumsomesha nk
Hata hivyo mtu akijichanganya akazaa na mke wa mtu, ajue hana haki yoyote kisheria na mtoto aliyezaliwa
kwa hiyo unaweza kwenda mahakamani kudai kuwa umezaa na mke wa x?Na yule ambaye DNA inamtambua na wakati mwingine mpaka Dawati la Jinsia linampeleka mahakamani yeye ni baba au mzazi mwenza!??
Wanahesabia ushafariki tayari 😅Inamana sie wababa ndio hamtuoni kabisa, yan tunatumia nguvu zetu zote zaujana kuwapambania mpate maisha ila nyie hamtuamini kusimamia mali zenu daa
Mali ghali ya kwanza ni mimi na boksa yangu.Hayo mengine tunarushana roho tu.Be patient miss darling!Kwa mali gani Musa weeee 😛 😛 😛 😛
Hauwezi lakini Ukwel ni kwamba mbegu iliyotumika kuunda mtoto , sio ya mume mtu ila ni ya bwana x .kwa hiyo unaweza kwenda mahakamani kudai kuwa umezaa na mke wa x?