Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshua nae kakataMtafute mshua 😃
Huu ni ukwel na huwa kuusema ni mchungu kwamba umechapiwa na unapambana kutunza watoto ambao sio wako kwa kujifariji eti shamba ni lako🤣🤣Na hata kisayansi itasema hivyo hivyo 😃 DNA doesnt acknowledge step dads
Mtoto bila kupima dna mkuu huwa nampimia kwa mbali tu bwasheee 🤣Kabsa watu wanajipatia faraja kwenye manii sizizo zao
Kukubebea mimba, kukuzalia na kukulelea watoto. Hii kauli huwa sipendi kuisikia. Hivi hao watoto mnaojivunia mnatuzalia sijui kutulelea sijui na kufanyajefanyaje, si ndiyo hao hao wakiwa wakubwa mnajimilikisha na kuhamisha upendo wa baba muonekane ni nyie tu ndiyo mnaowapenda. Mnataka vipato vyao viwanufaishe nyie tu. Moja ya faida anazopata mwanaume kutokana na hao watoto ni kutengwa uzeeni. Sasa mwanaume anajivunia nini juu ya huo uzao mnaoutumia kutafuta huruma za mwanaume. Hivi mbona hamueleweki nyie wanawake mnataka nini?!!Ila humu [emoji19] hivi hata kuna sababu gani ya kuwa na mwenza kama unakuwa na mawazo kama haya? Hivi kuwa na partner doesn't means to flourish and grows together? Tujifunze kutengeneza na tulionao. Kama haiwezekani ni bora kila mmoja ashike njia yake. Ifike mahali tuache kuishi kinafki. Wakati wewee ukiwa unatafuta hizo unazoita mali huyo ke wako si anakuwa anabkubebea mimba, kukuzalia na kukulelea watoto?
Your life your choice neno langu sio sheriaKukubebea mimba, kukuzalia na kukulelea watoto. Hii kauli huwa sipendi kuisikia. Hivi hao watoto mnaojivunia mnatuzalia sijui kutulelea sijui na kufanyajefanyaje, si ndiyo hao hao wakiwa wakubwa mnajimilikisha na kuhamisha upendo wa baba muonekane ni nyie tu ndiyo mnaowapenda. Mnataka vipato vyao viwanufaishe nyie tu. Moja ya faida anazopata mwanaume kutokana na hao watoto ni kutengwa uzeeni. Sasa mwanaume anajivunia nini juu ya huo uzao mnaoutumia kutafuta huruma za mwanaume. Hivi mbona hamueleweki nyie wanawake mnataka nini?!!
Kwenye mada kwenyewe inaelezwa jina la mali za mwanaume ziandikwe kwa jina la mama yake kwa nini isiwe baba yake?!! Ama kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
Wanaume tumesahaulika sana
🤣🤣🤣🤣 na wanaohangaika na kujipa moyo ni hawa ndugu zetu wasio hata na mia mbovu. Hapo kapanga chumba na sebule hukoo uswekeni na ana mke na watoto wanne. Hata hizo mali za kumuandika mama hana🙆♂️🙆♂️Hawawezi Atoto , wataoa, tutaishi kwenye nyumba zao na wataanza kufa wao watuache tunakula mali! Hizi mada za kujipa moyo tu
Huko juu ushaambiwa na watoto wanakuja kujazaa majina ya mama yao kwa hiyo mpira umerudi kwa kipaa😜Bora uandike majina ya watoto tu
kwani huyo gold digger anajitambulisha kuwa yeye ni gold digger?,...Unaandika mali zako jina la mama yako. Unawahi kufa, mama yako anafariki siku chache baadae.
Ndugu zako wanakuja kugawana mali za mama yao, watoto wako wanabakia kuwa machokoraa.
Akili ya kuambiwa changanya za zako, usioe gold digger. Oa mwanamke ambaye unajua mtapambana pamoja, na mtazeeka pamoja.
Noma sana!Mtani ahsante kwa hili dongo. 🤣🤣
Hivyo we kwenye mali zako umemuandika Mama?