Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
Angalia maisha ya mwalimu aliyemfundisha huyu Kingmaker wetu yalivyo leo. Tulitegemea mwalimu huyo baada ya miaka 23 awe ana maisha mazuri zaidi lakini kumbe leo analilia kitanda cha kamba kisicho na godoro.
Kichuguu,
Nadhani hii ni living room-sleeping room combined.
Lakini kosa la Riz1 ni lipi hapo? wangapi wetu walau tunawakumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo?
Lakini kosa la Riz1 ni lipi hapo? wangapi wetu walau tunawakumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo?
Huyu binti mi naona kalazimishwa kukaa pichani,lakini anaonyesha kabisa anasura ya kisasi!!Kama ukiangalia vizuri picha ya huyo mrembo Husna unahisi kama vile anatoa message fulani kwa watazmaji......najua JF kuna wataalam wa Arts wanaweza kututafsiria hiyo picha ya Husna
Yes unachosema ni kweli kabisa kama ungependa kujua msg yenyewe angalia vizuri sehemu ya macho yake yalivyojawa na huzuni pamoja na kukosa tumaini. Licha hata ya kutembelewa na ugeni huo lakini tabasamu limeshindwa kabisa kuganda kwenye uso wake. hata huyo mwalimu wake anmetabasamu kwa kukunja sura ionekane kama imetbasamu lakini wapi mkuu, usifanye mchezo na njaa.Kama ukiangalia vizuri picha ya huyo mrembo Husna unahisi kama vile anatoa message fulani kwa watazmaji......najua JF kuna wataalam wa Arts wanaweza kututafsiria hiyo picha ya Husna
tukianza na RIZ1 ktk mkono wake wa kulia amevaa pete ambayo haina tofauti na pete anazonadi mlizi wa familia yao (yahaya huseni). hivyo inaashiria dogo yupo under full maulinzi kwa 24/7. Cheko la RIZ1 ni bashasha za kupiga picha na kuongeza another image kwenye utalii wa ndani profile.Kama ukiangalia vizuri picha ya huyo mrembo Husna unahisi kama vile anatoa message fulani kwa watazmaji......najua JF kuna wataalam wa Arts wanaweza kututafsiria hiyo picha ya Husna
Halafu usikute aliwachia shs elfu thelasini ili wabadili mlo wa wki nzima kisha wampigie kura baba yake.
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
Angalia maisha ya mwalimu aliyemfundisha huyu Kingmaker wetu yalivyo leo. Tulitegemea mwalimu huyo baada ya miaka 23 awe ana maisha mazuri zaidi lakini kumbe leo analilia kitanda cha kamba kisicho na godoro.
Kosa ni jinsi huyu mama anavyodanganywa, JK alimwahidi maisha bora miaka 5 iliyopita, leo hii mtoto wake Ridhiwani, anamtembelea tena huyu mwalimu wake akiomba amchangue JK kwa maisha ya kasi mpya.
Mwalimu mwambie, HATUDANGANYIKIII
Kosa la kijana wenu ni kuchekelea maisha duni ya mwalimu wake, alitakiwa angalau awe na sura ya huruma kwenye picha hiyo... lakini kwa vile Rizi na CCM yake hawana huruma na wanainchi basi ni kukenua kwa sana tu, ukiwahoji watakujibu wewe si raia etc