Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Hawana ubunifu hebu jiulize ukiangalia movie za bongo eti walinzi wa majumbani ni machizi wapenda maskhara sana hawavai vizuri sasa ukija kwenye uhalisia hizi si tabia za walinzi walinzi wengi wana familia zao na wamesoma ila bongo duuuh
 
Star lazima awe boss mwenye nyumba na gari.
Jambazi lazima avae koti jeusi, miwani nyeusi.
Hata characters wengi hawaendani na uhalisia, unamkuta mdada wa kijijini lakini amepiga make up ya nguvu.
 
Hiyo namba 5 ndo sababu kubwa , siwezi nunua movie ya mtu alikuwa anamtukana Lowasa na kututukana wapinzani malofa, tena wanatukejeli kwa vicheko....yaani nna hasira nao balaa

Hao milioni 6 tuliompigia Lowasa ambao wengi tupo mjini hatuwataki kabisa ...

Hao milioni 8 wa ccm waliowashabikia wengi wapo Mpitimbi hata umeme hawana na hata kununua movie hawawezi
 
Nimecheka sana....!
Kumbe bongo movies ndiyo zao hizo....
Hivi ngono ilishamsaidia nani maishani!
 
Binafsi alipokufa Kanumba hadi leo si mpenzi tena wa Bongo movie...angalau yeye alithubutu kwa ubunifu na hilo la kutumiwa na vyama vya siasa ndo wameharibu kabisaaaa.
Niseme ukweli toka moyoni, hata filamu za Marehemu Kanumba hazikuwahi kunivutia. Ajabu nilienda Rwanda nilikuta chinga wa Kigali wameshika mkononi wananadi "Abakanumba. .."
 
Umewasomea hasa ukawajua,na hata wao wenyewe hawatakubishia.hasa hapo penye kutumika kisiasa umesema ukweli na zaidi ya ukweli.ila kunakofaa kuwarekabisha,nyie kama vijana wenzao,fanyeni hivyo. Ila Ubaya tu,kwakuibeba ccm wamepoteza ushawishi,wapenzi,na washauri wengi wa maana.watafakari bado hawajachelewa na wachukue hatua.
 
TBC ilipoanza kuegemea CCM ilishuka kwenye ratings sababu hakuna mtu anapenda kusikiliza propaganda za CCM.Bongo movie nao wamejichomeka CCM wasijue wanapunguza idadi ya hadhira wao kwani CCM inapendwa na wachache tu.Si watu wengi wanaopenda kusikia habari za CCM, sasa kuchanganya biashara na siasa ni kujichimbia kaburi.
 
Hiyo namba 5 ndo sababu kubwa , siwezi nunua movie ya mtu alikuwa anamtukana Lowasa na kututukana wapinzani malofa, tena wanatukejeli kwa vicheko....yaani nna hasira nao balaa

Hao milioni 6 tuliompigia Lowasa ambao wengi tupo mjini hatuwataki kabisa ...

Hao milioni 8 wa ccm waliowashabikia wengi wapo Mpitimbi hata umeme hawana na hata kununua movie hawawezi
Hawa watu walikosea vibaya sana.Walikata mnazi wasijue embe zao la msimu.
 
Sigara gani? Kubwa au ndogo? Kama sigara ndogo hata mimi sipendi ila sigara kubwa sijui imenifanya nini. Napenda mwanaume anaeitumia.
Kwani mkuu nawewe hiyo digara kubwa unaitumia?
Spot on!

Kila binti aliyeshiriki umiss lazima aingie Bongo Movie

Akina Mercy Johnson, Uche Jombo walishiriki wapi umiss?

Si kila mtu anaweza Director au script writer mzuri
Sijakuelewa. Unaunga mkono ama unabisha?
 
Ukijumlimsha akili za bongo muvi wote - gumbo kiholota, sultan tamba, white elephant and Tuesday kihangala =hamorapa (akili za bongo muvi wote sawa na akili ya hamorapa peke yake)
 
Mimi nisichopenda..

1. Kila movie lazima ina mambo ya uchawi na ushirikina.. Yani zinaboa kwwli .

2.Kukosa akili na ubunifu..... Watafute vipanga wwnye vipaji na akli za darasani, makalio tunayaona mitaani huku, hatutaki ya kwenye TV
 
Back
Top Bottom