Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Nimesoma sababu zako zooote ubinafsi wako.....Tatizo kubwa la bongo muvi ni Utaaluma Upo mdogo sana kwa waongoazaji na waandaji kwa ufupi...tuwape muda kwasababu hata hawo kiana Adamu na hanscana tunaowaona kwenye vodeo production bado wanamapungufu mengi sanaa ila NIWAPONGEZE WALIOSHIRIKI KWENYE TAMTHILIA YA HUBA INAYOONYESHWA BONGO MAGIC wamejitahidi sanaa mwanga,mazingira,wahusikia kuvaa uhusika mwingi...hata kama Marehemu kanumba angekwepo hiki kipindi kibovu bongo muvi kingekwepo tu teknolojia haidanganyi.mpaka anakufa Kanumba hapakwepo watsap wala instagram.
 
TBC ilipoanza kuegemea CCM ilishuka kwenye ratings sababu hakuna mtu anapenda kusikiliza propaganda za CCM.Bongo movie nao wamejichomeka CCM wasijue wanapunguza idadi ya hadhira wao kwani CCM inapendwa na wachache tu.Si watu wengi wanaopenda kusikia habari za CCM, sasa kuchanganya biashara na siasa ni kujichimbia kaburi.
Tatizo sio ccm wala chama chochote cha siasa tatizo n wao kuwa kujiingiza kwenye siasa mbona kuna wasanii kibao walikuwa ukawa wana unafuu gan au hao wote waliokuwa ccm wangekuwa ukawa unahis mambo yangekuwa tofaut think big broo
 
Mkuu alivyoandika vyote nakubaliana navyo isipokuwa kwenye mambo ya siasa. Kama mtu anaigiza vzr hata kama ni mwanachama wa chama Fulani kazi zake zitapeta tu pia kwa wasanii/ waimbaji hata kama ni chama fulani akitoa single kali itapigwa sana na shoo atafanya kama kawaida

Unaweza kuchukulia mf kwa mataifa mengine like US wakati wa kampeni wasanii/ waigizaji hujitokeza kupigia kampeni vyama mbalimbali lakini hawashuki kimapato kwa sababu ya kuonesha kuunga mkono chama fulani.

kuporomoka kwa tasnia ya bongo movie kunatokana na kukosa ubunifu, kutokwenda na wakati, vipaji duni, maadili mabovu ya waigizaji, sheria kandamizi kwa tasnia ya movie, support ndogo ya serikali na wadau mbalimbali, ushindani Mkali kutoka filamu za nje n.k
Ww ndo umeongea hapa suala la ccm au chadema haliwez kupunguza au kuongeza kitu kama hakuna creativity investment and discipline
 
Sasa mkuu unafananisha Dola M 1 na Milioni 6?

Nimesema hivyo kwasababu msanii atataka kutumia Camera ambazo low quality za bei rahisi ili tu abajetie pesa ndogo aliyoitenga. Matokeo yake unakuja kukuta movie haina rangi nzuri, scene zina cheza cheza n.k
Hili ni kweli nilimshuhudia mzee majuto na kina baba haji...shida njaaa na muhindi anawaua hawa waigizaji mtu anawaza atoe muvi kwa 10m afu ampeleke muhindi kwa 20 mpk 25m soko inabidi liamue na sio muhindi awaamulie bei wasaniii...mtu anakwambia muv za nishabebe muhindi ananunua 40 mpk 50m unadhani undergrnd mwenye kipaji cha kufiti scene zote atamshinda mlela na hemedphd wazee wa malavidav muvin kwa muhindi
 
Sababu ni nyingi ..kubwa ni kujihusisha kuuza mbunye location na kupenda kuazima azima magari yetu waende nayo location
 
. Movies huingizwa sokoni premature, wengi hawafanyi maandslizi ya kutosha, kuiga mapicha ya nje kwa Sana, kuigiza mauchawi na mengine yasiyohitajika
 
Hawataki kujituma- kazi ya kuigiza ni ngumu sana na inachukua masaa mengi sana kwa siku.
Kuwa Creative- hawataki kujifunza kutoka kwa wengine, Wanatakiwa waendee shule/training hasa directors, producers na actors
Wajiulize kila siku kwanini wengine Wa naweza sisi hatuwezi etc
 
WASITUMIE U MODEL KUTAFUTA VIPAJI. WATU WAPO WENGI WANAWEZA KUIGIZA ILA WANAPIGWA CHINI.
SASA BORA WATENGENEZE ZA NGONO ILI USTAR WAO UWE REAL
 
Sasa mkuu unafananisha Dola M 1 na Milioni 6?

Nimesema hivyo kwasababu msanii atataka kutumia Camera ambazo low quality za bei rahisi ili tu abajetie pesa ndogo aliyoitenga. Matokeo yake unakuja kukuta movie haina rangi nzuri, scene zina cheza cheza n.k
Kwa wale mnaosema tatizo ni mtaji, Sam Raimi muvi ya kwanza iliyomtoa bajeti ilikua 350,000$ lakini kwa kua alijua soko linataka nini muvi ilirudisha faida.

Juno bajeti ilikua 350,000$.

Open water bajeti ilikus 500,000$

Friday the 13th bajeti ilikua 500,000$

Halloween bajeti ilikua 350,000$

Na hizo zote zikaja kua blockbusters, hakuna cha kuilaumu bajeti.
Na zingine hapo ni za kipindi ambacho dola haikua imetuacha kama sasa hivi, kilikua kipindi cha ili ujue thamani ya hela yako ni kuongeza 0 mbili mbele.
 
Movie inaanza watu wanakumbatiana na kupelekana gesti wanalala wakitoka wanapanda noah au range rover wanaenda beach wakirud wanakaa kwenye masofa movie inaishia hapo watch out part 2 hivi makonda unamshawishije mtu kununua hizi movie uchwara za kibongo
Hahahaha.....hapo ukweli mtupu, utaona gari linaendeshwa weeee dkk 6 huku wimbo WA darassa ukipigwa mpaka unaisha, likifika utaambiwa watch out pt2
 
Wanitafute mimi niwasaidie,kama kuna msanii hapa aje tuweke mipango,tukaigize Movies za action huko Udzungwa mountains!movie kali kali kama za Rambo!
 
Kama ndio hivyo basi bora ife tu! Maana hakuna tofauti na 'danguro' chini ya mwamvuli wa 'bongo movie'
 
Kwa wale mnaosema tatizo ni mtaji, Sam Raimi muvi ya kwanza iliyomtoa bajeti ilikua 350,000$ lakini kwa kua alijua soko linataka nini muvi ilirudisha faida.

Juno bajeti ilikua 350,000$.

Open water bajeti ilikus 500,000$

Friday the 13th bajeti ilikua 500,000$

Halloween bajeti ilikua 350,000$

Na hizo zote zikaja kua blockbusters, hakuna cha kuilaumu bajeti.
Na zingine hapo ni za kipindi ambacho dola haikua imetuacha kama sasa hivi, kilikua kipindi cha ili ujue thamani ya hela yako ni kuongeza 0 mbili mbele.
Kweli kabisa mkuu, mtaji siyo kikwazo ila ubunifu.
 
Back
Top Bottom