shangoo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 325
- 361
Nimesoma sababu zako zooote ubinafsi wako.....Tatizo kubwa la bongo muvi ni Utaaluma Upo mdogo sana kwa waongoazaji na waandaji kwa ufupi...tuwape muda kwasababu hata hawo kiana Adamu na hanscana tunaowaona kwenye vodeo production bado wanamapungufu mengi sanaa ila NIWAPONGEZE WALIOSHIRIKI KWENYE TAMTHILIA YA HUBA INAYOONYESHWA BONGO MAGIC wamejitahidi sanaa mwanga,mazingira,wahusikia kuvaa uhusika mwingi...hata kama Marehemu kanumba angekwepo hiki kipindi kibovu bongo muvi kingekwepo tu teknolojia haidanganyi.mpaka anakufa Kanumba hapakwepo watsap wala instagram.