Star lazima awe boss mwenye nyumba na gari.Hawana ubunifu hebu jiulize ukiangalia movie za bongo eti walinzi wa majumbani ni machizi wapenda maskhara sana hawavai vizuri sasa ukija kwenye uhalisia hizi si tabia za walinzi walinzi wengi wana familia zao na wamesoma ila bongo duuuh
AiseeJINSI YA KUCHEZA CHURA YA SNURA WA BONGO MOVIE
Niseme ukweli toka moyoni, hata filamu za Marehemu Kanumba hazikuwahi kunivutia. Ajabu nilienda Rwanda nilikuta chinga wa Kigali wameshika mkononi wananadi "Abakanumba. .."Binafsi alipokufa Kanumba hadi leo si mpenzi tena wa Bongo movie...angalau yeye alithubutu kwa ubunifu na hilo la kutumiwa na vyama vya siasa ndo wameharibu kabisaaaa.
TBC ilipoanza kuegemea CCM ilishuka kwenye ratings sababu hakuna mtu anapenda kusikiliza propaganda za CCM.Bongo movie nao wamejichomeka CCM wasijue wanapunguza idadi ya hadhira wao kwani CCM inapendwa na wachache tu.Si watu wengi wanaopenda kusikia habari za CCM, sasa kuchanganya biashara na siasa ni kujichimbia kaburi.Umewasomea hasa ukawajua,na hata wao wenyewe hawatakubishia.hasa hapo penye kutumika kisiasa umesema ukweli na zaidi ya ukweli.ila kunakofaa kuwarekabisha,nyie kama vijana wenzao,fanyeni hivyo. Ila Ubaya tu,kwakuibeba ccm wamepoteza ushawishi,wapenzi,na washauri wengi wa maana.watafakari bado hawajachelewa na wachukue hatua.
Hawa watu walikosea vibaya sana.Walikata mnazi wasijue embe zao la msimu.Hiyo namba 5 ndo sababu kubwa , siwezi nunua movie ya mtu alikuwa anamtukana Lowasa na kututukana wapinzani malofa, tena wanatukejeli kwa vicheko....yaani nna hasira nao balaa
Hao milioni 6 tuliompigia Lowasa ambao wengi tupo mjini hatuwataki kabisa ...
Hao milioni 8 wa ccm waliowashabikia wengi wapo Mpitimbi hata umeme hawana na hata kununua movie hawawezi
Kwani mkuu nawewe hiyo digara kubwa unaitumia?Sigara gani? Kubwa au ndogo? Kama sigara ndogo hata mimi sipendi ila sigara kubwa sijui imenifanya nini. Napenda mwanaume anaeitumia.
Sijakuelewa. Unaunga mkono ama unabisha?Spot on!
Kila binti aliyeshiriki umiss lazima aingie Bongo Movie
Akina Mercy Johnson, Uche Jombo walishiriki wapi umiss?
Si kila mtu anaweza Director au script writer mzuri