Bongo movie mnakela sana, movie zenu hazna uhalisia, mnaigiza madudu bora hata enzi za kina Muogo Mchungu, japo production ilikuwa duni ila watz tulienjoy, leo dunia ya digitally ila mnaigiza mashudu??? harafu nyie ni bure kabsa badala ya kusema mkomae ili mtoe kazi za maana mnakalia kuandamana et kazi zenu ziuzwe...acheni ukilaza!
Hebu angalieni haya madudu yenu chini hapo..na mbadilike! mkishindwa mimi mwenyewe nitaingia kazini soon niwape watz kitu roho inapenda.
-Baba na mama wote weusi tii...mtoto shombe shombe Hemed PhD.
-Mtu ana act km maskini ila kichwani katia wave na nywele kanyoa flesh kabsa mtindo wa kisasa.
- kila mmoja anataka kujichubua awe mweupe.
-huwezi kuta gari linawaka moto au hata glass imevunjika kwenye movie zenu karibu zote.
-katika movie zenu, waigizaji kuongea lazma wasubiriane, hata mnapoigiza ugomvi.
-mnapoteza muda mrefu kuonyesha kitu au mandhari ambayo hata hayana tija katika filamu husika..mfano maghorifa ya posta kwa juu, ndo imekuwa kila movie mnaonyesha.
-Ray Kigos una act km Boss flan mwenye heshima zako ila kichwani umepaka mi wave...na kuvaa madubwasha ya kung'aa ng'aa km Defao.
-sound ndo uchafu kabsa...kelele c kelele bas tu..mnapenda kuweka lile li mlio km kinada chabkanisani, mnaboa kinyama. Hiv huwa hamuangalii hata movie za nje? Au lugha shida? Sio lazma kuzielewa angalien tu mjifunze hata vitu vidogo vidogo.
- Ili movie iwe kali mnafikiria mpka iwe ya kutia huruma, majonzi au kulia lia...af story zenu hampishani sana na hadith za shigongo.
-sasa mkute Anti Ezekiel ndo jambazi...unaweza kupiga tv yako na glass..jambaz gani unabebelea bunduki mabegani km masai kabeba fimbo?
-camera position hamjui...kila kitu lazma mpige kwa mbele.
-kutana na tajiri sasa wa bongo movie...utacheka...ana booonge la nyumba hata afanani nalo...af hakuna mtu zaid ya mlinzi tu. Ambaye lazma awe chenga chenga km tahira vile.
YAANI KWA KIFUPI NYIE BONGOMOVIE, KAZI ZENU NI UTUMBO NA MADUDU NA BADO SIAMINI KM MNAUZA KWELI...WANAO ANGALIA KAZI ZENU NDO WALE WALE WA MOVIE ZA KUTAFSIRIWA KISWAHILI JAPO BORA ZILE.