Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Na ndomana hataka afike mbali kibamia yuko mwisho anategemeya bifu na domo ..jama Ana gubu kama shetaniHata wakati familia yenu nzima inacheza nyimbo za ALI KIBA kipindi huyu manemfananisha nae anauza mitumba HAKUWAHI KUWA NA MABODGUARDS kaka...
Tena makosa makubwa ilibidi awekwe listi moja na jay z,Celine Dion au Dr.Dre,hapa angepatia.Chris Brown, Justin Bieber kuwaweka list moja na wamakonde ni udhalilishaji
Kuwa na mabodyguard au kutokuwa nao sio tatizo ila sababu alitoa ya kutokuwa na mabodyguard imenichekesha Sana wasanii wetu wanamatatizo ya akili na imenifanya nijue kwanini huyu jamaa aendelei si Bora tu angenyamaza kuliko kutoa sababu za kitotoView attachment 1127178
Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.
Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake kimeshuka mno, watu wakimuona wana mcheki 2 kwambali, sasa mabaunsa kwake wanini??
Lakinu mastaa wanaolindwa na body guard kama Harmonize, Chris Brown ama Justin Bierber akikutana na mashabiki kila mtu anataka kumshika kumvuta so anastahili walinzi na usisemee kuuliwa tu kama ulivyokalili.
=Kariri.
Aah aah aaah! Ndo maana anajiamini hivyo...Kiba analindwa na waganga. Bodyguard wa nini.
Italuwa ata samani ya wazazi wako umeishushaChris Brown, Justin Bieber kuwaweka list moja na wamakonde ni udhalilishaji