Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.
Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake kimeshuka mno, watu wakimuona wana mcheki 2 kwambali, sasa mabaunsa kwake wanini??
Lakinu mastaa wanaolindwa na body guard kama Harmonize, Chris Brown ama Justin Bierber akikutana na mashabiki kila mtu anataka kumshika kumvuta so anastahili walinzi na usisemee kuuliwa tu kama ulivyokalili.