Sababu ya Kiba asiwe na mabodigadi kama wasanii maarufu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370

Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.

Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake kimeshuka mno, watu wakimuona wana mcheki 2 kwambali, sasa mabaunsa kwake wanini??

Lakinu mastaa wanaolindwa na body guard kama Harmonize, Chris Brown ama Justin Bierber akikutana na mashabiki kila mtu anataka kumshika kumvuta so anastahili walinzi na usisemee kuuliwa tu kama ulivyokalili.
 
Anagubu anaona ugumu wa kuwalipa wenziye ....wale mabaunsa wanalipwa pesa sio bure ..
 
Maemdeleo ya kibamia yote sasahivi Ana kopi kwa domo ..hana jipya jeuri na gubu kawaida yake
 
View attachment 1127178

Kuwa nawalinzi sio sababu ya kuuliwa tu, kitendo chakutoka point A to B ukitembea mashabiki wana weza kukuzonga kukuvutavuta sasa.

Kwa upande wa kiba haitaj kwasababu kiwango hicho kwake kimeshuka mno, watu wakimuona wana mcheki 2 kwambali, sasa mabaunsa kwake wanini??

Lakinu mastaa wanaolindwa na body guard kama Harmonize, Chris Brown ama Justin Bierber akikutana na mashabiki kila mtu anataka kumshika kumvuta so anastahili walinzi na usisemee kuuliwa tu kama ulivyokalili.
Kuwa na mabodyguard au kutokuwa nao sio tatizo ila sababu alitoa ya kutokuwa na mabodyguard imenichekesha Sana wasanii wetu wanamatatizo ya akili na imenifanya nijue kwanini huyu jamaa aendelei si Bora tu angenyamaza kuliko kutoa sababu za kitoto
 
Back
Top Bottom