Sababu ya kukataliwa katika biblia(apokrifa)

Vitabu vya apokrifa. Je umewahi Kusikia biblia yenye Vitabu 72?
Mkuu nitachangia lakini mada yako umeiandika bila kuweka paragraph na itawasumbua wengine kuisoma....

Unaonaje ukaiedit ili kuwapa wengine uwezo mzuri wa kuisoma?
 
we ni mvivu wa kusoma,

mi kabla sijamaliza LY,nishaisoma bible zaidi ya mara tatu kutoka ukurasa wa kwanza mpaka kule kwenye misamiati
Ila elewa biblia sio kitabu cha hadithi au gazeti la kusoma mbele kwa mbele.., maana halisi kuzipata, labda uwe baba mchungaji
 
we ni mvivu wa kusoma,

mi kabla sijamaliza LY,nishaisoma bible zaidi ya mara tatu kutoka ukurasa wa kwanza mpaka kule kwenye misamiati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] LY ni la Saba sio
 
Mkuu nitachangia lakini mada yako umeiandika bila kuweka paragraph na itawasumbua wengine kuisoma....

Unaonaje ukaiedit ili kuwapa wengine uwezo mzuri wa kuisoma?
Sawa Mkuu nafanya Hivyo
 
Yudith anasimuliwa kuwakomboa wayahudi kutoka kwa jemedari Holo fane aliyetumwa na nebukadreza huko betulla
 
Hivi ni vitabu vya Deuterokanoni sio apocripha
.

Mkuu, kwanza nikusahihishe, halafu nitakuba elimu ya neno baada.
Hii haiandikwi apocripha, bali inaadikwa APOCRYPHA.
Vitabu vya Deotorokanoni vina maana ya "kanuni ya pili", ukiachilia vile vya kanuni ya Kwanza (Protocanon). vitabu hivi vilikataliwa na baadhi ya madhehebu, na vilinatikana katika biblia (tafsiri) ya kigiriki ya Septugiant (LXX). Vitabu hivi vimepewa maana ya appcripha, ikimaanisha vitabu vilivyokataliwa. kwa maana nyingine vitabu vya Deutorokanoni vipo ndani ya vitabu katika mkusanyiko wa Apocripha.

Hebu soma kwanza tafsiri hii halafu uje mara ya pili;

APOCRYPHA hidden, spurious, the name given to certain ancient books which found a place in the LXX. and Latin Vulgate versions of the Old Testament, and were appended to all the great translations made from them in the sixteenth century, but which have no claim to be regarded as in any sense parts of the inspired Word.

(1.) They are not once quoted by the New Testament writers, who frequently quote from the LXX. Our Lord and his apostles confirmed by their authority the ordinary Jewish canon, which was the same in all respects as we now have it.

(2.) These books were written not in Hebrew but in Greek, and during the “period of silence,” from the time of Malachi, after which oracles and direct revelations from God ceased till the Christian era.

(3.) The contents of the books themselves show that they were no part of Scripture. The Old Testament Apocrypha consists of fourteen books, the chief of which are the Books of the Maccabees (q.v.), the Books of Esdras, the Book of Wisdom, the Book of Baruch, the Book of Esther, Ecclesiasticus, Tobit, Judith, etc.

The New Testament Apocrypha consists of a very extensive literature, which bears distinct evidences of its non-apostolic origin, and is utterly unworthy of regard.
 
Basi sawa
 
Nazani Umeelewa mkuu
Haukuwa na sababu ya kuuliza swali labda kama vidole vilikuwa vinawasha..... Umeona kabisa nimejibu basi sawa na majibu yake yote nimelike na Hata aliposema ubarikiwe nimelike... Ni ishara tosha nimeelewa ... Afu wewe kurupu nadhani umeelewa... We jamaa bana kudandia tu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Kama Ujaelewa nijazilize
 
Makabayo wa kwanza kitabu Hiki kina simulia vita ya wayahudi vita vya kupata Uhuru wa dini na siasa Yuda(Makabayo) alikuwa Kama Shujaa Mkuu muhusika mkuu
 
Nitapataje Biblia ya kiswahili yenye vitabu vya apokrifa...msaada Please[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…