Sababu ya kumkinai mkeo

Unadhani kuishi na same person chini ya paa moja mnajifunika shuka moja kwa miaka 10+ ni kazi rahisi?

Utamkinai(hi) na kumchoa kabisa, ila kuna mda unaona kitu special ndani yake, ambacho kilikufanya umpende, na upendo unarudi upya...love is like a pendulum bob, it has to swing here n there.
 
Wengi sisi wanaume huwakinaibwake zetu kwa sababu ya kutuzoea zoea mpaka HESHIMA hushusha baada ya ndoa
Kujiremba huwa ndo mwisho tena mtu anakaa na makanga kama yupo msibani
 

Tamaa ndiyo huwa inahitaji kuboostiwa kwa kitu kipya sio Upendo. Upendo upo consistent!
 
Hoja nzuri ila ulipoingiza shetani na jehanam ndio imeharibikia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…