Sababu ya kumkinai mkeo

Sababu ya kumkinai mkeo

Na wao wafanye mazoezi hasa ya matumbo, nilikuchukua namba 8 umejisahau umefutukaa kisa access ya kula unachotaka unapojiskia

Kingine mdomo, hakuna mwanamke anachosha chap kama type za Zai Kijiwe Nongwa
 
Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi).

Sasa basi,kwa kuwa Mimi Student Teacher kwa asili siyo mchoyo wa Maarifa ngoja nikupe sababu ya wewe kumkinai mkeo licha ya urembo na wema wake kwako.

Umemkinai Kwa sababu tangu mwanzo ulimuoa kwa kusukumwa na tamaa za mwili wako tu pasi na Upendo.

Kumbuka tamaa yoyote ile ina kawaida ya kuexpire. Kitu kama hauna unatamani sana kukipata,na ukikikipata pole pole unaanza kukizoea hatimaye kukikinai kabisa. Kinakuwa hakikusisimui tena(Hapa ndipo shetani anapatumia sana kuijaza Jehanamu). Na anaijaza sana tu!

Upendo hauchuji,hauchachi wala kuexpire.

Muwe na siku njema🤝
Evelyn Salt njoo huku unaitwa!
 
Upendo unathamini mtu vile alivyo kwa mwendelezo na sio kama saa ya kimulimuli.
Upendo hauna ubinafsi(selfless)
Upendo hauwazi mabaya
Upendo husitiri madhaifu
Upendo haufurahii udhalimu(haufugi uhuni wa aina yoyote) bali husimama upande wa haki
Upendo unashiba na kutosheka

Kinyume chake ndiyo inaitwa tamaa

Tamaa hujiwaza yenyewe tu(selfish)
Tamaa huwaka ghafla kisha baada ya muda hufifia na kuzimika kabisa(Haina mwendelezo).
Tamaa haijawahi kushiba wala kutosheka

Wengi wanachanganya kati ya Upendo na Tamaa
 
Upendo unapoa, tena usipojitahidi upendo unakufa kabisa!!
Upendo hauhitaji jitihada zozote kuflow bali unaflow naturally. Ulichokitaja hapo ni tabia na kawaida ya tamaa sio Upendo. Jipe muda utafakari zaidi
 
Na wao wafanye mazoezi hasa ya matumbo, nilikuchukua namba 8 umejisahau umefutukaa kisa access ya kula unachotaka unapojiskia

Kingine mdomo, hakuna mwanamke anachosha chap kama type za Zai Kijiwe No

Na wao wafanye mazoezi hasa ya matumbo, nilikuchukua namba 8 umejisahau umefutukaa kisa access ya kula unachotaka unapojiskia

Kingine mdomo, hakuna mwanamke anachosha chap kama type za Zai Kijiwe Nongwa
Upendo huwa unapenda nafsi ya mtu kwa ujumla wake na sio mwili wake pekee(Zingatia kwamba mabadiliko ya kimwili hayaepukiki ingawa yanaweza kupunguzwa au kucheleweshwa).
 
Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi).

Sasa basi,kwa kuwa Mimi Student Teacher kwa asili siyo mchoyo wa Maarifa ngoja nikupe sababu ya wewe kumkinai mkeo licha ya urembo na wema wake kwako.

Umemkinai Kwa sababu tangu mwanzo ulimuoa kwa kusukumwa na tamaa za mwili wako tu pasi na Upendo.

Kumbuka tamaa yoyote ile ina kawaida ya kuexpire. Kitu kama hauna unatamani sana kukipata,na ukikikipata pole pole unaanza kukizoea hatimaye kukikinai kabisa. Kinakuwa hakikusisimui tena(Hapa ndipo shetani anapatumia sana kuijaza Jehanamu). Na anaijaza sana tu!

Upendo hauchuji,hauchachi wala kuexpire.

Muwe na siku njema🤝
Inatakiwa wife akupige tukio la kufa mtu ili akili ikae sawa nahisi pia na upendo utarudi.
 
Back
Top Bottom