Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

Ramsy Dalai Lama

Senior Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
156
Reaction score
554
Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)?

Naam, nimekuja na jibu la swali hilo. Kupigwa teke kwenye korodani kuna uchungu zaidi kuliko kuzaa, ingawa mimi pia kama mwanaume siyajui maumivu ya kuzaa. lakini nina sababu ya kusema hivyo. wala siyo science

Hii ndio sababu ya hitimisho langu: Iko hivi, Mwaka mmoja au zaidi baada ya mwanamke kujifungua, utamsikia akisema, "natamani kuzaa mtoto mwengine" Lakini huwezi kusikia mwanaume akisema, "Unajua nini, nadhani ningependa unipige teke lingine kwenye korodani."

Case closed....Ngoja nipumzishe akili yangu manaake it was a long day at work.

chao
 
Maumivu ya kuzaa, huwa yanaleta kiumbe kipya duniani. Ila maumivu ya kupigwa kwenye korodani, hayana faida yoyote zaidi ya kumfanya mpigwaji akunje sura tu.

Ndio maana wanawake huwa wanatamani kuzaa tena, na wanaume hatupendi kupigwa korodani.
 
Ila huwa yanauma asee usiombe wakuwahi huko ikulu
 
Kama utafatilia haya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili halafu ukasoma comments yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa utagundua kwamba mimi sina la kusema...🙄🙄🙄
 
Maumivu ya kuzaa, huwa yanaleta kiumbe kipya duniani. Ila maumivu ya kupigwa kwenye korodani, hayana faida yoyote zaidi ya kumfanya mpigwaji akunje sura tu.

Ndio maana wanawake huwa wanatamani kuzaa tena, na wanaume hatupendi kupigwa korodani.
thank you for the clarification...japo na me nilikua najaribu kuweka kautani kajioni (evening Jokes) lakini umeelezea vizuri
 
Kama utafatilia haya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili halafu ukasoma comments yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa utagundua kwamba mimi sina la kusema...🙄🙄🙄
vicomment vya youtube hivi
 
Pole sana kiongozi...sema for the sake of defence mwanamke anashauriwa a target eneo hilo...tena apige haswa akikishe mwanaume hanyanyuki...so labda mkeo amelijua hilo [emoji23]

kuna siku nilimtandika makofi akanguka chini kweny kunyanyuka si akazikamata na kuanza kubinya.

Nilipiga kelele na kulia kama paka.

Sitosahau ile siku
 
Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)?

Naam, nimekuja na jibu la swali hilo. Kupigwa teke kwenye korodani kuna uchungu zaidi kuliko kuzaa, ingawa mimi pia kama mwanaume siyajui maumivu ya kuzaa. lakini nina sababu ya kusema hivyo. wala siyo science

hii ndio sababu ya hitimisho langu:
Iko hivi, Mwaka mmoja au zaidi baada ya mwanamke kujifungua, utamsikia akisema, "natamani kuzaa mtoto mwengine" Lakini huwezi kusikia mwanaume akisema, "Unajua nini, nadhani ningependa unipige teke lingine kwenye korodani."

Case closed....Ngoja nipumzishe akili yangu manaake it was a long day at work.

chao

MMMHHHHHHH LABDA 🤔
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom