Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

Usiambiwe, hakuna maumivu ya kufananisha na uchungu, nakumbuka Ile siku niliomba niitiwe mama yangu, nikamwambia kama kuna kosa nilimkosea anisamehe maana nilikuwa najiona nakufa.
Pole...ndo maana wanaume inakuwa vizuri kuwepo wakati wake zetu wakijifungua...bcoz maybe italeta huruma kwa mkeo ikikumbuka alivyoteseka kwa maumivu akijifungua
 
Pole sana kiongozi...sema for the sake of defence mwanamke anashauriwa a target eneo hilo...tena apige haswa akikishe mwanaume hanyanyuki...so labda mkeo amelijua hilo πŸ˜‚
Watakuja kuuanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
maumivu ya kuzaa huambatana na KIFO ndani yake.

maumivu ya korodani ni maumivu makali pia ila huwezi kuchungulia KABURI.

Kama vipi tubadilishane hizi maumivu baada ya miezi 9 tulete mrejeshoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Azae kwanza ndio aje hapa atuelezee huo ujinga.
Sorry jina yako inanikumbusha I had a girlfriend alipenda nimuite Katoto...so you remind me of her...okay Atoto I was joking sikua serious kwenye hilo
 
Nafikiri ni kujifungua kutumia
Meno kuzaa Kwa mwanadamu ni utovu wa nidhamu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenikumbusha mbali sana. Wakati naanza kubalehe nikamvimbia housegirl na kumchapa kofi. Asee aliniwai anivuta mbupu na aachii nilipiga mayowe mpaka majirani walikuja kumuomba aniachie
Ni noma asee πŸ˜‚πŸ˜‚ , me pia kuna siku nusu ni dhalilike kwenye umati wa watu, manzi niliye kuwa nae tulitofautiana kidogo si akaniwahi huko weee acha tu yani 😎
 
Back
Top Bottom