Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)?

Naam, nimekuja na jibu la swali hilo. Kupigwa teke kwenye korodani kuna uchungu zaidi kuliko kuzaa, ingawa mimi pia kama mwanaume siyajui maumivu ya kuzaa. lakini nina sababu ya kusema hivyo. wala siyo science

hii ndio sababu ya hitimisho langu:
Iko hivi, Mwaka mmoja au zaidi baada ya mwanamke kujifungua, utamsikia akisema, "natamani kuzaa mtoto mwengine" Lakini huwezi kusikia mwanaume akisema, "Unajua nini, nadhani ningependa unipige teke lingine kwenye korodani."

Case closed....Ngoja nipumzishe akili yangu manaake it was a long day at work.

chao


Mtu ahitaji apigwe teke kwenye korodani ili iweje??.

Mwanamke anahitaji apate mtoto kwa ajili ya manufaa yake.

Sioni hoja yoyote ya maana uliyoitoa kwenye huo uzi wako.
 
Back
Top Bottom