Na kibaya zaidi unakuta mkeo ( Mwenye kipato kizuri tu ) ananua vitu kama viwanja na kujenga bila hata kukushirikisha, Na kama mna watoto ndo basi tena hata kama wamefukuzwa ADA Hatoi pesa mpaka baba yao ATOE
- Binafsi huwa nikishuhudia ndoa za watu zilivyo unakosa mood kabisa
Na nyege zikiwashika inakuwaje?wala sirekebishi mkuu,nimeona wadada waki adopt watoto yatima kutoka vituoni.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ukiona hivyo huyo kakosa..ni sizitaki mbichi hizi.Mmmh....ashakum hakuchagulii tusi. Wanaume wa jf tumepokea matusi yako kwa mikono miwili
wewe ni kidume ama? unasaka ujiko ee?Wanaume ukiwa na pesa mpe ale, avae, asuke aishi vizuri anavyotaka. Acheni ubaili, mkiwa hamna pesa mnachonga saaaaaana kama huna pesa za kumpa ili aishi vizuri na ale vizuri pita hivi huna lolote
[emoji23][emoji23]Ukiona hivyo huyo kakosa..ni sizitaki mbichi hizi.
Kabisa! ndo maana nina plan ya kuoa standard4, tena kutoka bush huko mulyakapikiliWanawake mabahili sana bora asiye na kipato
Tena ni balaa - Mwanaume TAJIRI Kama MENGI anaweza kuishi kwa Amani kabisa na Furaha, Na Mwanamke wa DARASA LA SABA Lakini ikiwa ViceVersa Mwanaume atajuta - Na hii NGUVU aliyo nayo MWANAUME katika Jamii basi WANAUME WANGEPITIA MATESO MAKALII, KUJUTA NA KUKIMBIA DUNIA HIIWanawake mabahili sana bora asiye na kipato
Ht ww mkuu?Ah! kwa usawa huu acha tu nionekane napenda pesa
Hakuna freeP in the name of love
Kumbuka ndio kiungo kilichokufanya uwe dunia,unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ss hua nakufuja bure bure au tunafujana...ten nyie mnatufuja 75% and we get the rest...Naam kwanini unifuje burebure et kisa mapenzi?!
Let I stay silentunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ss hua nakufuja bure bure au tunafujana...ten nyie mnatufuja 75% and we get the rest...
We unawaza nn???unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Kwa kweli ametutusi sana huyu mwanamke..Mungu amjalieMmmh....ashakum hakuchagulii tusi. Wanaume wa jf tumepokea matusi yako kwa mikono miwili