Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Hello JF,

Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.

Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.

*** Hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛
Hii imani ni yako tu,,,na ulimbukeni wa baadhi yenu,,, kutaka maisha ya kuiga na kutoridhika,,,,otherwise,,, Mungu aliwaumba mkae nyumbani kutunza familia,, na baba akafanye kazii alete chakula nyumbani,,,,
 
unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
Sifa kubwa ya kwanza ya mwanaume awe provider, ndio hayo ya security provider na mengine yanafuatia. Adam alikuwa na kila kitu then ndio akaumbiwa Hawa,hiyo ina maana kubwa sana kwa wanaume, ila hawataki kulisikia.
Hii ni nature na it has nothing to do with 'wanawake wa sasa'
 
Pumba tu hata kama mwanamke ana kazi anakubomu tu sasa wa kazi gani?
Hakuna tofauti ikidate na mwenye hela atakupiga kibomu pia ni heli ambae hana ndo mm nahc hata akhitaj unampa
 
Mwanamke hata awee na kaziii...!! Bado tu atataka pesaa yakooo... mfano wote mkiwa mnafanya kazii alafu yeye Akapata mshahara Mil 2 wew ukapata Mil 1 bhasi ndani mna Mil 1.... hapoo ndo ugomvi unakuja maana yeye anakuwa anahitaji vitu vya gharama ambavyo huwezi kuvimudu.. HAKUNA MAPENZII BILAA PESAAA..!! hata kama humpi hela mkononi ila kuna mambo ya out..zawadi zawadi...ili mradi ajisikie anapendwa..
 
Bomu hilo
 
mimi ni mzee, mimi ni baba yako kabisa unapaswa kuniamkia, maana naelekea miaka hamsini!
.com imetokea juzi naiona.

zamani wanawake waliridhika na mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa! siyo mwwnye hela!
halafu mwanamke hata kama hakusoma, akiingi katika mji ma mawazo mazuri ya kushauliana na mumuwe, anamiliki tu hela mbona?
Ujumbe maridhawa
 
Hello JF,

Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.

Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.

*** Hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛
Ndo maana fb umekimbia kumbe umejificha kwa nyani ngabu
 
Back
Top Bottom