Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Harassmentunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harassmentunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Wee bila mwanaume kuna maisha?unawaza wanaume miaka hii?
Hii imani ni yako tu,,,na ulimbukeni wa baadhi yenu,,, kutaka maisha ya kuiga na kutoridhika,,,,otherwise,,, Mungu aliwaumba mkae nyumbani kutunza familia,, na baba akafanye kazii alete chakula nyumbani,,,,Hello JF,
Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.
Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.
*** Hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛
Wewe huipendi?Wanawake mnapenda pesa...pesa mnaipenda hongerenii kwa hilo.
Sifa kubwa ya kwanza ya mwanaume awe provider, ndio hayo ya security provider na mengine yanafuatia. Adam alikuwa na kila kitu then ndio akaumbiwa Hawa,hiyo ina maana kubwa sana kwa wanaume, ila hawataki kulisikia.unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
Hakuna tofauti ikidate na mwenye hela atakupiga kibomu pia ni heli ambae hana ndo mm nahc hata akhitaj unampaPumba tu hata kama mwanamke ana kazi anakubomu tu sasa wa kazi gani?
Hahaha...she hasn't seen hers..Is not about money... what about her useless pussy?
Hahahaunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Pesa tamu iwe ya akili yako mwenyewe sio ya kuhongwa...yaani unakuwa mtumwa flani hivi, nachukia hiyo tabia!Wanawake mnapenda pesa...pesa mnaipenda hongerenii kwa hilo.
Bomu hiloMwanamke hata awee na kaziii...!! Bado tu atataka pesaa yakooo... mfano wote mkiwa mnafanya kazii alafu yeye Akapata mshahara Mil 2 wew ukapata Mil 1 bhasi ndani mna Mil 1.... hapoo ndo ugomvi unakuja maana yeye anakuwa anahitaji vitu vya gharama ambavyo huwezi kuvimudu.. HAKUNA MAPENZII BILAA PESAAA..!! hata kama humpi hela mkononi ila kuna mambo ya out..zawadi zawadi...ili mradi ajisikie anapendwa..
Bomuu kwelii..so tafuta uliemzidi kipato ili muende sawa..!!Bomu hilo
nimekasirika kweliunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Hivi bila hiyo useless penis wewe ungezaliwa?unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ujumbe maridhawamimi ni mzee, mimi ni baba yako kabisa unapaswa kuniamkia, maana naelekea miaka hamsini!
.com imetokea juzi naiona.
zamani wanawake waliridhika na mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa! siyo mwwnye hela!
halafu mwanamke hata kama hakusoma, akiingi katika mji ma mawazo mazuri ya kushauliana na mumuwe, anamiliki tu hela mbona?
Usitukane hujatumaliza woteunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ndo maana fb umekimbia kumbe umejificha kwa nyani ngabuHello JF,
Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.
Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.
*** Hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛