Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
- Thread starter
- #41
Na kibaya zaidi unakuta mkeo ( Mwenye kipato kizuri tu ) ananua vitu kama viwanja na kujenga bila hata kukushirikisha, Na kama mna watoto ndo basi tena hata kama wamefukuzwa ADA Hatoi pesa mpaka baba yao ATOE
- Binafsi huwa nikishuhudia ndoa za watu zilivyo unakosa mood kabisa
-mie nilijua ni wanawake wachache,ila kwa mtazamo wa michango ya wanaume kwenye hii thread,inaelekea labda wanawake ndio tulivyo,ndio nature hivooooo hahahhahah don't work against nature lol,mbona there is considerable debate kuwa wanaume wameumbwa kuwa na wanawake wengi,na sisi ndiio hivyo.lol