Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Hao wa nyumbani wanaolea familia mi sina shida nao kama mimi ntahudumia kwa roho moja!shida ipo pale unapokuta mdada ana kazi na anapesa zake lkn bado anendekeza njaa tu,hawa wa aina hii sasa ndo shida!!
 
unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
Waendelee kujipa mimba Sasa! Mnataka power? Kumtawala mwanaume? Power? I'll mwanaume awe chini yenu au vipi?

Acha kuwadanganya wenzio wewe!
 
Ni jukumu langu kumhudumia mwanamke nimpendae kadri ya uwezo wangu! Kwa kuwa nisipomhudumia Mimi atahudumiwa na nani? Kwani hamuoni kuwa nisipomhudumia mwingine anaweza akatumia nafasi hiyo kumtwaa? Hivi kwa nini tunakuwa watu wa kulialia na kupoteza umakini kwenye mambo ya kawaida kama haya?
 
Hao wa nyumbani wanaolea familia mi sina shida nao kama mimi ntahudumia kwa roho moja!shida ipo pale unapokuta mdada ana kazi na anapesa zake lkn bado anendekeza njaa tu,hawa wa aina hii sasa ndo shida!!
Anaomba hadi ela ya saloon...mwanamke Wa hivi jua maisha yake ni ya kuongwa tu na wanaume
 
wanawake hawamjuagi nini mnataka! mkipata pesa mnatoka nje ya ndoa! mkipata mapenzi mnatoka nje ya ndoa! hakuna mtu wa kuwawazia nyie na kuwalithisha kwa kila kitu! mnamikono na miguu pia! nendeni mkafanye kazi! mshiriki kulea familia! sio kila siku kutegemea vya wanaume!
 
Wanawake ni viumbe vya ajabu sana yani hata kama ana 10mil alafu mwanaume una 2mil bado anataka akuombe atumie za mwanaume alafu zake zisitumike wanyonyaji sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…