Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Hao wa nyumbani wanaolea familia mi sina shida nao kama mimi ntahudumia kwa roho moja!shida ipo pale unapokuta mdada ana kazi na anapesa zake lkn bado anendekeza njaa tu,hawa wa aina hii sasa ndo shida!!Hello JF,.....kuna Imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli,.....leo nimeona mahali,ufafanuzi wake,lol.. Ni kwamba as a society,tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia,
Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi,...wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security!.....Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.
****** hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛