Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Hii imani ni yako tu,,,na ulimbukeni wa baadhi yenu,,, kutaka maisha ya kuiga na kutoridhika,,,,otherwise,,, Mungu aliwaumba mkae nyumbani kutunza familia,, na baba akafanye kazii alete chakula nyumbani,,,,
 
unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
Sifa kubwa ya kwanza ya mwanaume awe provider, ndio hayo ya security provider na mengine yanafuatia. Adam alikuwa na kila kitu then ndio akaumbiwa Hawa,hiyo ina maana kubwa sana kwa wanaume, ila hawataki kulisikia.
Hii ni nature na it has nothing to do with 'wanawake wa sasa'
 
Pumba tu hata kama mwanamke ana kazi anakubomu tu sasa wa kazi gani?
Hakuna tofauti ikidate na mwenye hela atakupiga kibomu pia ni heli ambae hana ndo mm nahc hata akhitaj unampa
 
Mwanamke hata awee na kaziii...!! Bado tu atataka pesaa yakooo... mfano wote mkiwa mnafanya kazii alafu yeye Akapata mshahara Mil 2 wew ukapata Mil 1 bhasi ndani mna Mil 1.... hapoo ndo ugomvi unakuja maana yeye anakuwa anahitaji vitu vya gharama ambavyo huwezi kuvimudu.. HAKUNA MAPENZII BILAA PESAAA..!! hata kama humpi hela mkononi ila kuna mambo ya out..zawadi zawadi...ili mradi ajisikie anapendwa..
 
Bomu hilo
 
Ujumbe maridhawa
 
Ndo maana fb umekimbia kumbe umejificha kwa nyani ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…