Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

Sababu ya kwanini wanawake tunaonekana tunapenda pesa

unaweza kuwa sahihi ila ni kweli wanawake huangalia vitu hivyo,security kama haipo usidhanie atakaa kwako,labda anaweza asitamke wazi,ila nature ndio inaamua hivyo lol
Mkuu! Security sio Lazima iwe financially, and that's where you girls got it wrong. Nyie mwajua mtu akiwa na pesa basi ushakua secured.
 
wala sirekebishi mkuu,nimeona wadada waki adopt watoto yatima kutoka vituoni.
Hahahaha you are right! Wame-adopt. sasa Fanya kila mwanamke ana mentality yako (yaani anasubiri ku-adopt)....Dunia itakua kichekesho.
 
Miss Natafuta. Basi nisamehe..sikudhani kama utaichukulia serious sana hii post yangu.
Umabadilika lini na kuanza kukasirika post za kukutania?
Basi jamani sitakutania tena.. Just forget .. Sikupanga kuku offend... Kinda of funny only. Anyway sor



Teh! ndio ushaharibu hivyoo
 
Naam kwanini unifuje burebure et kisa mapenzi?!
Ukisugua Chuma kwa Chuma vyote hulika na sio kimoja pekee! Shida ni kwamba wanawake mnafikiri mna-loose peke yenu katika mahusiano/tendo,ukweli ni kwamba wote tunatumika na kupoteza au kufaidika.
Sasa nyie mmetufanya wanaume ni watafutaji na nyie ndo dealers, Hapa ndipo kosa huja. You've got V and I've got P and they Compliment each other. No one is giving Or receiving, We Contributing.
N:B Avoid hyo notion ya wewe kufunjwa, Hakuna anaefujwa.
 
Nilikuwa na Girl friend Kwao mambo safi na alikuwa anafanya kazi lakini pesa kwangu kachala aliitaka dah.
 
Hahahaha you are right! Wame-adopt. sasa Fanya kila mwanamke ana mentality yako (yaani anasubiri ku-adopt)....Dunia itakua kichekesho.

watoto wa kuadopt hawataisha hata ufanye nini,hio ni nature mkuu,lol
 
Hello JF,

Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia.

Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi, wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security! Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.

*** Hii haiwahusu wadada wa JF 😀😀😛



yaonekana wewe mtamu sana, njoo nionje validity yake
 
Na kibaya zaidi unakuta mkeo ( Mwenye kipato kizuri tu ) ananua vitu kama viwanja na kujenga bila hata kukushirikisha, Na kama mna watoto ndo basi tena hata kama wamefukuzwa ADA Hatoi pesa mpaka baba yao ATOE

- Binafsi huwa nikishuhudia ndoa za watu zilivyo unakosa mood kabisa
Mwanamke aina hiyo hafai hata kuitwa mke.
Kama kweli ni mke tutatumia pesa zote kwa manufaa yetu!
 
Mwanamke anayefaa kuwa nae ama kuoa ni yule asiye na kipato,
Mwanamke mwenye kipato ni mwenye tamaa nyingi kupindukia,
Akiwa mfanyabiashara ndo hatari zaidi.
 
Sio single mother namfahamu.
Comment zake has something to do with her zero.
Lazima kuna jitu limemtenda dada yangu.
Ana hasira sanaaa.
Naanza kumtafutia mtu amfanyie kanselingi
Hiyo dada mimi nahisi kuna siku tutapata taarifa humu kuwa amechinja mwanaume.

Prejudices alizonazo dhidi ya wanaume sio za sayari hii.
 
miss natafuta,
Samahani sana naomba nikutafute kwa ridhaa yako.
 
Wanawake wa nchii wanaendekeza saaana njaaa hata kama hajatoka familia yenye njaa lakini unaweza kushindwa kumtofautisha na wenzake wenye njaa, alafu pia ni wavivu mnooo.

Hapo awali nilikuwa naamini kupenda sana pesa na kusaidiwa saidiwa kwenye mahusiano ni nature ya mwanamke hadi pale nilipo date na msichana kutoka nchi jirani, kwa mara ya kwanza niliexperience give and take relationship.

Kuna demu mmoja mkenya rafiki yangu siku moja nilikuwa napiga nae stori akaniuliza "hivi mbona hawa dada zenu wanapenda sana mteremko? Nikamuuliza kivipi? Akajibu "yaani kila kitu wanapenda kurahisishiwa na mtu yuko tayari kutembea hata na boyfriend wa mdogo wake hili tu atimiziwe shida yake" nikamwabie "hata nyie kwenu Kenya ni hivyo hivyo tu" akasema "ila nyie kwenu mmezidi" nikambishia bishia pale akanipa stori za mashoga zake hapa bongo wala hata sikuendelea kubisha.
 
Back
Top Bottom