sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Exposure ya maisha na elimu.
Kabis mkuu.Exposure ya maisha na elimu.
Sasa nikajiuliza, ikiwa hii masters haijanisaidia chochote kazini HIYO PhD ya nini?
Maana tunasoma kwa lengo la kuona positive impact ya elimu yetu kazini. na hasa "in financial aspect"
#YNWA
Mtu unatumia fedha nyingi alafu mshahara hauongezeki au unakaa benchi muda mrefu bila ajira bora kukomaa kutafuta pesa.Exposure ya maisha na elimu.
Sasa nikajiuliza, ikiwa hii masters haijanisaidia chochote kazini HIYO PhD ya nini?
Maana tunasoma kwa lengo la kuona positive impact ya elimu yetu kazini. na hasa "in financial aspect"
#YNWA
ShenziDegree moja tu huna uhakika wa vocha hiyo masters si utauza simu
Pole sana usisahau, kunywa maji kutwa mara tatuShenzi
Imepungua kiasi, umuhimu upo hatukatai ila impact ndio changamotoHaijapungua. Acha kusoma uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Degree moja tu huna uhakika wa vocha hiyo masters si utauza simu