Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

Masters ilikuwa zamani kama unavosema..saiv sio dili tena , jobless kibao zina masters na maofisini wengi zimejaa yaani haina tofauti tena na first degree. Saiv watu wengi they focus kujiajiri zaidi kuliko kufukuzana na masters
 
True kamanda
Exposure ya maisha na elimu.
Sasa nikajiuliza, ikiwa hii masters haijanisaidia chochote kazini HIYO PhD ya nini?
Maana tunasoma kwa lengo la kuona positive impact ya elimu yetu kazini. na hasa "in financial aspect"

#YNWA
Kabis mkuu.
Hasa kwenye part ya financial.
 
Exposure ya maisha na elimu.
Sasa nikajiuliza, ikiwa hii masters haijanisaidia chochote kazini HIYO PhD ya nini?
Maana tunasoma kwa lengo la kuona positive impact ya elimu yetu kazini. na hasa "in financial aspect"

#YNWA
Mtu unatumia fedha nyingi alafu mshahara hauongezeki au unakaa benchi muda mrefu bila ajira bora kukomaa kutafuta pesa.
 
Back
Top Bottom