Sababu ya Noah Lyles kushinda mbio za Mita 100 Olympics

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari



Wachunguzi wa Kisayansi katika Michezo wamedai mguu wa Thompsor ulikuwa umevuka mstari kabla ya Noah

Hata hivyo, Sheria za Riadha (Sprint) za Shirikisho la Riadha la Dunia zinaeleza muda wa mkimbiaji unarekodiwa wakati sehemu yoyote ya mwili (yaani, mwili mzima, tofauti na kichwa, shingo, mikono, miguu, mikono au miguu) inapovuka mstari wa mwisho.
 
Hili nalo limetupatia funzo
 
clip yake iwewe tena waizoom katika slow motion ndio utata utaondoka.

Inawezekana huyo alietanguliza mguu akawa kweli amechelewa kwa sababu huwenda wakati anautoa mguu huo nyuma huku mwenzie alishafikia mstari.

Hiyo inawezekana mpiga picha akawa amechukua camera wakati ambao mmoja ameshavuka na mwimgine ndio mguu wake unagusa eneo
 
Nahis ndio ile kuandikiwa tu kua ni wakat wako wa kupata gold. Mjamaica pia ana sifa zote za kupewa gold medal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…