Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari
Wachunguzi wa Kisayansi katika Michezo wamedai mguu wa Thompsor ulikuwa umevuka mstari kabla ya Noah
Hata hivyo, Sheria za Riadha (Sprint) za Shirikisho la Riadha la Dunia zinaeleza muda wa mkimbiaji unarekodiwa wakati sehemu yoyote ya mwili (yaani, mwili mzima, tofauti na kichwa, shingo, mikono, miguu, mikono au miguu) inapovuka mstari wa mwisho.