BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mshikiwa akili njoo ukanushe
Utopolo si mmemchukua, furahini sasa mfanye naye kazi kwa weledi@ Msitufokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo si mmemchukua, furahini sasa mfanye naye kazi kwa weledi@ Msitufokee
Waswahili wanapenda majungu sana.
Majungu tu kwani huyo dada hawezi kuwa CEO ?Watu wanayajua ya ndani unaita majungu.
mkuu tupe madini, nahisi kuna vitu vingi unavijua, maana yote uliyoweka hapa yametokea.Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi ya Msaidizi. Na pia kwa sasa ingawa haiko wazi lakini inasemekana huu ndio "Kaimu CEO" pale Simba kwa muda huu.
Binti huyu inasemekana hana Background ya masuala ya Mpira, lakini kutokana na ukaribu wake na MO basi amejikuta amepenya penya mpaka nae amekua katika management ya Club ya Simba
Huyu inasemekana amekua akimfikishia MO habari nyingi kuhusu mambo mbalimbali, ambazo pengine sio zote ni za kweli (Majungu), na vile MO "hapindui" kwa huyu mdada basi amekua akifanyia kazi habari hizo bila hata kuzichunguza.
Waliobaki pale Simba wamekua wakimuogopa huyu Mdada wakiogopa kugombana na MO pale wanapopishana kauli na huyu Binti. Na wakati mwengine Senzo au Staff mwengine pale ambapo akimshitakia Binti huyu kwa MO basi MO humfikishia habari hizo BARBARA ili waangalie wanalitatuaje.
Senzo anaposema ameona anapita njia tofauti na MO, basi ni pale wanaposhindwa kuelewana juu ya BARBARA. Habari hizi ni exclusive kutoka kwa mtu ndani ya Simba S. C. ambae utambulisho wake kwa sasa nauweka kapuni.
Nikanushe nini?! Au hujui kusoma?!Njoo ukanushe, make mnashikiwa sana akili
We jamaa una matatizo kuliko matatizo yenyewe! Unataka nikanushe nini?!Njoo tena ukanushe