mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ila afadhali wali kuliko vyakula vya ngano kama chapati.Sijui sababu za kitaalam lakn wanasema kiporo cha wali huchangia kwa kiasi kikubwa kwa kwenye kuongezeka uzito
The more you exercise the more you eat.Mazoezi yanaimarisha mwili lakini ni 20% ya kupunguza uzito. Chakula unachokula ni 80% kinachangia uzito wa mwili.
Mwili una uwezo wa kujihifadhia chakula. Tulipokuwa hunters tuliweza kukaa siku tatu au zaidi bila kupata chakula cha kutosha na mwili ulitumia akiba yake kujitosheleza.
Baada ya maendeleowya kilimo chakula kilianza kuwa kingi na mwili unahifadhi bila ziada kutumika.
Ni kweli mkuu chapati inafyonza mafuta na digestion yake ni taratibu. Huu utaratibu wa chapati mbili asubuhi nimeuacha.Ila afadhali wali kuliko vyakula vya ngano kama chapati.
Maana Mimi niliumuka sana miezi iliyopita kwa sababu kila siku asubuh nilikuwa nakula chapati.
Lakini wiki mbili hizi nimeacha kula chapati nimepungua sana na kitambi kimebaki wastani tu.
🤣🤣🤣🤣Asante!!!
Ukuje basi jomoniiiHahaha mama mahunjumati, aisee kweli na miss vitu vingi vizuri
Ubwabwa maharage mtam aseeeMimi mwenyewe nmefail kuondoa kitambi kwa sababu nashindwa kuacha misosi Kama hii.
Sijazoea eti uniambie nile mchemsho tu wa viazi au nile supu ya kabichi hapo ndio inakuwa mtihani.
Sio ulafi napenda sana kutomban@ asee sema tuu sijaachilia moyo wangu bado,.Mhhhh, siku 240? Ulkuwa kalafi wewe mama? Ila unaweza kurudia tena siyo mbaya! Ina maana huyo akiyekuoa hajui hayo makitu?
Saaana....huna haja ya kukimbizana na upepo asubuhi,ukipata morning glory yako ya maana hata unywe korie hunenepi ng'ooSex ni dawa sana yaani, hasa ukipata anayejua..
Una urefu size gani mkuu?? Kama ni mwanaume halaf una urefu mzur tu 78kg ni optimam,Hii ndio siri ilinifanya nikapungua kutoka kilo 78 mpk 65 kwa miezi 4 tuu.
Now nimemaintain kwenye 65~67kg.
Mimi si mrefu na nilikuwa na 88-90 kg nilikuwa kama ka mtungi flani hiviUna urefu size gani mkuu?? Kama ni mwanaume halaf una urefu mzur tu 78kg ni optimam,
Sasa km una urefu mzur halaf kilo zako ni 65kg mbona BMI yako itakua poor
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Sio ulafi napenda sana kutomban@ asee sema tuu sijaachilia moyo wangu bado,.
Ha Ha haMimi si mrefu na nilikuwa na 88-90 kg nilikuwa kama ka mtungi flani hivi
wanakula mahindi ya kuchoma na ndimu wanakufajeeee..............watanzania tunakufa na kisukari..
wanakula mahindi ya kuchoma na ndimu wanakufajeeee...........
@Elitwege Njoo huku uoneMimi nipo na mamake Elitwege, naning'iniza miguu mpaka tumbo kwishney! Jamani njooni mpate uzoefu kwangu kupitia mama Elitwege!
nimefululiza wali wiki mbili naima kilo nakuta 75 wakati nilikuwa na 71.Kula wali jioni ni shida aisee. Kitambi hakiwezi kuondoka