mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ila afadhali wali kuliko vyakula vya ngano kama chapati.Sijui sababu za kitaalam lakn wanasema kiporo cha wali huchangia kwa kiasi kikubwa kwa kwenye kuongezeka uzito
Maana Mimi niliumuka sana miezi iliyopita kwa sababu kila siku asubuh nilikuwa nakula chapati.
Lakini wiki mbili hizi nimeacha kula chapati nimepungua sana na kitambi kimebaki wastani tu.