Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nateho kulemelwa kosungola shikolo aho na sungagaomwanamasanja oniwelaga geke eligoshi lyakwe litenabokisa hqhahaa
Ni kweli mkuu uko sahihi 80%Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii.
Hii saikolojia iliyothibitishwa.
Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile.
Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile.
Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao wa sasa, na kudhani kuwa hawaendani tena..... ama hawawafai kisa tu huyu mpya ni vibe kama lote.
Ni suala la muda tu, hata huyu mpya mkishakuwa mmejuana sana stori zinapungua kama sio kuisha kabisa.
Je, mnaoshauri wapenzi waimarishe mawasiliano kila wakati mnataka waongee nini?
Binafsi nashauri wapenzi wapya kutokuongea sana tangu mwanzo wa mahusiano yao, hii itapunguza kuja kuonekana penzi linaelekea kufa ikifikia stori zimeisha.
Niwatakie wikendi njema.
Penzi jipya hata ukiulizwa bebi umekula au unapenda chakula gani? Utaona ni swali muhimu na unaweza kutumia dakika kumi kulijibu.
🤣🤣acheni jaman tupenzike