Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

nakumbka nilkaa kwenye mahusiano wiki moja na kuachwa shwaaa,,, mwenzangu alkua m'babe af mm ndo waleeee wa ......au basπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli mkuu uko sahihi 80%
 
Penzi jipya hata ukiulizwa bebi umekula au unapenda chakula gani? Utaona ni swali muhimu na unaweza kutumia dakika kumi kulijibu.

[emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana na niliachwa pia kisa kapata penzi jipya usiku mzima siku ipo busy wanaongea nikipiga inatumika akipokea anakasirika anasem anaongea na mama ilibd tu nijiongeze hata kama nilimpenda maskini mtoto wa watu nikampa na block.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…