Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Mimi ni Mtanzania asilimia mia ila kutokana na mitihani ya maisha, nikipata fursa (bhati) ya kusomea Kenya kutoka primary at Kisii-gesima _Mosobeti way, Dorcas Academy, Secondary at Nyari Sstate, Karura SDA, uni mku theka. Ninaijua Kenya vzuri kwa miaka na mijukuu.
Sikatai Kenya ipo mbali sana mbele yetu, ukitaka kuamini hili angalia GDP yao against yetu. Huo ni ukweli asilimia 100ββ, hili linathibitishwa kwa ubora wa elimu yenu, miundombinu bora nk.
However, Kenya mna udhaifu mkubwa kwenye kuchagua wasimamizi wenu wa seriakali. Upungufu huu unaleta udhaifu mkubwa kwenye utekelezaji wenu wa miradi kikubwa ya maendeleo. Wizi umekithiri serikalini hadi kuwafanya kushindwa kutekeleza miradi mikubwa.
Mfano, hivi tangu Uhuru alipoingia, miradi mikubwa aloitekeleza imefika hata mitano? Hio miradi ina athari gani nchini Kenya? Inaskitisha kuwa, tukipotezea Kenya kushindwa kutekeleza asilimia kubwa ya miradi yake mikubwa kutokana na ubadhilifu wa fedha, ila baadhi ya miradi mingi ya Kenya huwa na athari hasi, (negative impacts) katika uchumi wa Kenya.
Hili ni tofauti na Tanzania. Hatukatai sisi pia tuna madhaifu yetu ambayo kila mtu anajua, ila ubadhirifu kwetu ni wa siri sana. Tunatekeleza miradi mikubwa na ya kisasa inayoendana n wakati, hatupendi mtumba kama, na miradi karibia yote huwa na athari chanya punde tu inapoanza kazi. Hii ndio tofauti yetu kubwa.
Ni sawa Kenya mna barabara, madaraja ni vitu vingine vizuri zaidi. Watanzania tunaipata jeuri yetu tukiona kunaitekeleza miradi mikubwa na ya kisasa kuliko Kenya na kwa ufanisi mkubwa, tukitumia bajeti ndogo kuliko Kenya iliyojenga au inayotekeleza miradi ya gharama yenye ubora wa kunyooshwa vidole.
Kwaivyo, licha ya Kenya kuwa mbele yetu, sisi tunajiona tupo juu yenu kutokana na kutekeleza miradi mikubwa inayoendana na wakati ilhali nyinyi mingi yenu ni chakavu kutokana na time ilojengwa, miradi yetu mingi kuwa bora kuliko mliyonayo by far, pesa tunayoitumia kujenga miradi yetu ya dhahabu kuwa ni ndogo kuliko pesa mnayoitumia kujenga miradi yenu ya kawaida, ufisadi kwetu kupungua ilhali Kenya mnaenda kumuelect, vyote ni vya mtoto, kinachotupa jeiri zaidi ni kuushuhudia uchumi wa Tanzania ukipaa nyinyi mkijikongoja.
Wakenya, kumbukeni hakuna lenye mwanzo bila mwisho.
Endeleeni kulala na ipo cku tutawaacha mking'ethia ng'ethia au amkeni mapewa muupe ushindani π₯π₯π₯ kwa maisha bora n maendeleo ya nchi.