Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

uwezi ukapost your personal ducuments ili kuwaaminisha watu usio wajua kuwa wew ni mtanzania.. Niamini mimi wewe ni mpumbavu
Nahisi wewe ndio utakua na tatizo,ni mitandao mingapi tunaweka identity zetu,sio kila mtu anajifichaficha kwenye jina fake mzee.
 
Lakini kumbukeni amesema amesoma huko kuanzia shule ya msingi hadi secondary, kwahiyo ni rahisi kunasa lafudhi ya Kenya kuliko Tanzania.
Sijaona sababu ya kumkataa jamaa kama ni mtanzania na vielelezo katoa sielewi watu wanakerekwa na nini?sisi tumesoma hapa na bado hatuna kiswahili safi,sio kimaandishi tu hata kimatamshi.Sio sawa.
 
Wakati mungine usilete ubishi wa kichoko Kwa kitu usichokuwa n uhakika nacho taira wewe.
Nilitumia Kiswahili maana nilitaka kueleweka n kila mtu, wewe n waliosoma pia. Kama kimepinda kawaida, hata wamakonde hawakiongei vzuri
Kisa, umesema Kenya iko juu ya Tanzania kimaendeleo. Usidhani kuna lengine. Ndugu zako huumwa Na Kenya bradhee.😂😂😂😂

cc Uhuru n Umoja mkorinto MOTOCHINI
 
Back
Top Bottom